Kweli ustaarabu ulianzia pwani, yaani usiku wa manane nimelala nasikikia, nantondo lolo mayo, nikadhani ni vibaka wa kike au wachawi kumbe wanaokota kumbikumbi kuzunguka nyumba.
Ustaarabu kazi
Ujinga wake ninii? Yeye atakuwa yupo huko kijijini kwenu amelala usiku usiku ndugu zako wamekuja kutafuta mboga na hivyo wanamsumbua!π Pokea malalamiko.Ntumbasu ngwenoyo.
Ahaaaaaaas[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji91][emoji91][emoji91][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Kweli ustaarabu ulianzia pwani, yaani usiku wa manane nimelala nasikikia, nantondo lolo mayo, nikadhani ni vibaka wa kike au wachawi kumbe wanaokota kumbikumbi kuzunguka nyumba.
Ustaarabu kazi
Kidogo nitoke na manati yangu.
Sie wengine tuna madeni mengi sana ukikatizwa usingizi kuupata tena ni shughuli
Ujinga wake ninii? Yeye atakuwa yupo huko kijijini kwenu amelala usiku usiku ndugu zako wamekuja kutafuta mboga na hivyo wanamsumbua![emoji28] Pokea malalamiko.
Tatizo unakataaa kwenu na unampenda sana Pwani na DarππKama anaona wanamkera ahamie visiwani sasahivi dsm na pwani haina mwenyeji.
Bila kusahau "kumbikumbi" zinaongeza "kumbukumbu"Kumbikumbi zinaongeza nguvu za kiume