Watu wa bara mna ubaguzi na chuki za kidini

Hivi walimu walivyo na changamoto zao za kutosha na kubaki wanaweza kupata muda wa kumferisha mtoto eti kisa ni muislamu????

Msitafute pa kujificha wapeni watoto elimu kikamikifu sio kutilia mkazo madrasa pekeake alafu mtegemee wafaulu kuliko wale ambao wametumia muda mwingi kwenye elimu ya shule
 
Fuatilia achana na porojo uliza miaka ya 2010 tunasoma Nan walikuwa vinara ...kuwa na kumbukumbu utajua tu..
Unakimbilia mwaka 2010 kwasababu unajua hakuna ushahidi.
Weka hapa list ya shule silizofungiwa mwaka 2022 kwa kosa la uvujishaji wa mitihani.
 
Unakimbilia mwaka 2010 kwasababu unajua hakuna ushahidi.
Weka hapa list ya shule silizofungiwa mwaka 2022 kwa kosa la uvujishaji wa mitihani.
Unoangela shule za msingi sio haya niambia kama sio watu bara hao ndo wengi tuhesabu hapa enzi izo ilikuwa kanda ya kaskazini sasa ni kanda ya ziwa yote ni bara .
 
Mpaka leo kuna mfumo wa kutumia namba bado watu mnalalamika tu.

Ok dunia haitaki watu walalamishi muda wote wewe fanya kutafta private school mpeleke kuepusha makelele.
 
Nyie madogo wa pwani achaneni na vigodoro na hizo madrasa mnazoitaga chuo. Rudini darasani tupambane na vitabu
 
Siku mkiwa na visogo kama sisi, na pia kuacha kunywa urojo! hamtokuja kufeli mtihani wowote. Mtakuwa mnafaulu kirahisi tu kama sisi wa Bara.
 
Bora umejua mchawi wenu magoma ya kumcheza mwali na ile ilmu......hayo mambo na elimu ya mzungu wapi na wapi.
 
Watu wasio wa bara mna nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…