Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hahha eti miaka ya nyumaAngalia miaka mzee ya nyuma naongeala leta hiyo list then ndo kanda ya pwani ziko ngapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahha eti miaka ya nyumaAngalia miaka mzee ya nyuma naongeala leta hiyo list then ndo kanda ya pwani ziko ngapi.
Nikuwekee shobo kwa kipi ulinacho?Ukweli mchungu sipendagi shobo na jamii yenu maana hamtaki ukweli...Pita kushoto unaniletea gundu !!
Fuatilia achana na porojo uliza miaka ya 2010 tunasoma Nan walikuwa vinara ...kuwa na kumbukumbu utajua tu..Hahha eti miaka ya nyuma
Pita kushoto sipendi ufala.Nikuwekee shobo kwa kipi ulinacho?
Nimekurekebisha tabia yako mbovu
Unakimbilia mwaka 2010 kwasababu unajua hakuna ushahidi.Fuatilia achana na porojo uliza miaka ya 2010 tunasoma Nan walikuwa vinara ...kuwa na kumbukumbu utajua tu..
Unoangela shule za msingi sio haya niambia kama sio watu bara hao ndo wengi tuhesabu hapa enzi izo ilikuwa kanda ya kaskazini sasa ni kanda ya ziwa yote ni bara .Unakimbilia mwaka 2010 kwasababu unajua hakuna ushahidi.
Weka hapa list ya shule silizofungiwa mwaka 2022 kwa kosa la uvujishaji wa mitihani.
Bado unakwepa-kwepaUnoangela shule za msingi sio haya niambia kama sio watu bara hao ndo wengi tuhesabu hapa enzi izo ilikuwa kanda ya kaskazini sasa ni kanda ya ziwa yote ni bara .
Wapi sasa nakwepa ...Bado unafuatilia matokeo mi nimekuambia ya miaka hyo jamaa alikuja kusepa pwani sasa angalia shule nyingi zimetoka ukanda upi?Bado unakwepa-kwepa
Siku mkiwa na visogo kama sisi, na pia kuacha kunywa urojo! hamtokuja kufeli mtihani wowote. Mtakuwa mnafaulu kirahisi tu kama sisi wa Bara.Happy ban day!
Watu wa bara mnapaswa kubadilika na kuwa na ustaarabu! Nyie watu mmekosa ustaarabu na chuki zimewajaa acheni hizo gubu zenu na nyinyi huku pwani tuwatimue?
Nimechokwa na chuki zenu za udini kila mara mnazowafanyia ndugu zetu wa pwani hamuwaruhusu kusoma shuleni zenu na nasikia mnawafelisha wanafunzi wa bara.
Bwana .siwezi kumtaja mtoto wake amefelishwa kwenye shule moja huko bara eti kisa ni muislamu na anatokea pwani tafadhalini sana watu wa bara tunajenga nyumba moja kwanini mnaubaguzi hivyo?
Watu wa bara tafadhalini acheni hizo chuki zenu na ubaguzi wenu wa ajabu ajabu na sisi tutawabagua huku kwetu pwani.
"Jamiiforum acheni double standard na ubaguzi wa dini hili ni jukwaa huru"
Cde. Mwanamzizima
Mkristo Safi.
Bora umejua mchawi wenu magoma ya kumcheza mwali na ile ilmu......hayo mambo na elimu ya mzungu wapi na wapi.Mwana Mziima Umeongea maneno makubwa sana na hii ni siri nzito umeitoa .Nashukuru kwa kusema ukweli ktk suala la Elimu Wakiristo wamelivamia njuga sana hawataki waislamu wasome hata kidigo chuki zao na ubaguzi wao ziko wazi wazi ikiwa sisi watu wa bara munatubagua kisa Waislamu je Wazanzibari ndio kabisaaa.Tanzania ni bomu la saa udini upo na chuki zipo na harakati za kuwa Muislamu asisome zipo na hilo liko wazi na wakristo wanajifanya wao ni majority hapa Tanzania kumbe ni manority .Waislamu amkeni wachemi mambo ya magoma hayo hayatasaidia .
Watu wasio wa bara mna nini?Happy ban day!