hivi ile localbitcoin ilifungiwa..??Ngoja wataalam waje ila network itakayokufaa ni BNB Kule kuna mawakala wa uhakika nilitoa Coin ya Ice nikauza kama USDT nikatoa kama TZS 172K
Kuhasu localbitcoin sijajua maana binafsi nipo napambana na hizi Mining network mpya kama Ice, Pi, Gooddollar na Buffalo...hivi ile localbitcoin ilifungiwa..??
na makato yake vipi hiyo BNB..?
Kuna brokerage system ya us imenigomea kutoa through any method but only through crypto currencyusipoisema hiyo changamoto mpk ukafikia option ya cryptocurrency itakuwa mbaya zaidi!, nafikiri iseme then kama kuna utatuzi wakusaidie watu tunazidiana maarifa ujue.
So you strongly recommend bnb right, you referring to binance rightKuhasu localbitcoin sijajua maana binafsi nipo napambana na hizi Mining network mpya kama Ice, Pi, Gooddollar na Buffalo...
Kuhusu makato sikumbuki maana me nilikuwa miner wa kawaida tuu kwa hiyo niliwaza kupata pesa tuu makato hata sikufuatilia maana hakuna gharama niliyoingia kuchimba hizo coin...
sawa mcheki jamaa hapo akuelekeze nunua crypto then uza....Kuna brokerage system ya us imenigomea kutoa through any method but only through crypto currency
Njoo inboxhivi ile localbitcoin ilifungiwa..??
na makato yake vipi hiyo BNB..?
mkuu mi hapana mfate mwenye uzi hizi mambo mi nishaachana nazo...😂Njoo inbox
Yes yes... Kutoa hela kule ni uhakika.. kwa sababu wakala anakutumia hela kwanza ikiingia tuu wewe unathibitisha... Uzuri wameweka na namba unaweza kuwapigia mkaongea kabla.... Kuna wakala mmoja nilikuwa recommended kwake ngoja nitafute jina nitakuludia...So you strongly recommend bnb right, you referring to binance right
Karibu MkuuThanks pal let us keep gathering thoughts
Kumbe ukiachana na kushabikia 115 charges haya maswala unayaelewa kongole mkuu😃Mkuu binance ndio Kila kitu kama unashindwa kutuma au kutoa pesa njoo inbox ...
Kama Hauna verified account ya binance pia na hauwezi kutengeneza saizi njoo inbox
Hapa unaweza kupata pesa kutoka taifa lolote unalojua hapa Duniani na mbinguni ...
Ilishafungwa kitambo hata mimi nilikuwa naitumia kutransfer sanahivi ile localbitcoin ilifungiwa..??
na makato yake vipi hiyo BNB..?
Umefeli wapi tukusaidie ndgThanks pal let us keep gathering thoughts
Kwenye Cryptocurrency I think karibia nafikia level ya kutengeneza coin yangu sasa ,utaikuta binance ...Kumbe ukiachana na kushabikia 115 charges haya maswala unayaelewa kongole mkuu😃