Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Hongera Mkuu...Kwenye Cryptocurrency I think karibia nafikia level ya kutengeneza coin yangu sasa ,utaikuta binance ...
Nipe recommendation ya mining network mpya ambazo unaona zina potential huko mbele achana na Pi, Gooddollar, na Rubi