Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Hivi hawa wazee wa chipsi Nyingi na mayonaizi ya kutosha radi kidogo mpaka mnafungulia Uzi? Hivi hizo radi kidogo mnalala uvunguni kweli? Ndio maana wavuta bange panya road wanawakimbiza Kila siku, hivi mlishafika mji wa vidono Kigoma?
Watu wa Dar hizo flash hazina hata madhara kwa sababu huo ni mji mkubwa na Kuna vikinga radi vingi tu endeleeni kazi zenu tu.
Radi za huku Kanda ya ziwa na magharibi hasa Kigoma na Sumbawanga zinapiga vibaya mno, hiyo flash ambayo "mmeexperience" Pamoja na hizo thunderstorm ni za mtoto Kigoma hata kama amna mvua au dalili za mawingu zinapiga radi vibaya mno Pamoja na ngurumo za kutosha Lakini watu Wana survive kama hakuna kinachoendelea, shughuli zinafanyika kama kawaida yaani tunachukulia kama jambo la kawaida.
Tena huko kwa makamu wa Rais huko Buhigwe radi zinapiga mchana.
Tokeni uvunguni nendeni mkajenge taifa.