REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Yes, nasema ushamba kwa sababu gani kukaa Dar es Salaam si kuwa uko mikoani hakuna watu ambao hawaijui hiyo Dar si wazawa ila kutokana na mihangaiko ya maisha wanajua chocho zote za Dar
Wanajua uhuni wote wa Dar sasa nyie mkienda uko nakuaanza aaah ona hii siyo kama Dar, mpo kijijini msibani anaulizia uber, anaulizia hivi uku hakuna night club, akiona wa mama wanaenda kuteka maji kisimani anashangaa yani wana ujinga ujinga as if hawajui hii ni Tanzania.
Ebu ongezeeeni ujinga wao mwingine.