Watu wa Dar es Salaam mnapoenda mikoani punguzeni ushamba

Watu wa Dar es Salaam mnapoenda mikoani punguzeni ushamba

Kamata mitoto yote ya Dar leta hapa mdukuzi kuja hapa ,Mwachiluwi kuja hapa ,wewe Mad Max kuja hapa ,wapi Souljah boy kuja hapa

Haya na Mimi niko hapa kugombana na Hawa wakuja maana wamelianzisha wenyewe ,Sasa naomba tujibu mashambulizi kwa ustaha
Wazawa wa mjini huwa hatuna shida tukienda vijijini kwani huwa ni adventure,wanaoleta shobo nara nyingi na wale waliozaliiwa bush na kuja mjini ukubwani,hao hawachelewi kupakana kwao,
 
Acha kukasirika dunia ndo iko hivyo mambo ya Dar hayawezi kufanana na mambo ya Isevya Watu wa Dar hawafanani na watu wa magumu ndanindani huko Bitozi wa Buchosa huku Dar anachunga Ng'ombe picha ya ndege huko sasa kwa nini wa dar asiulize duu huyu ndo BISHOO wenu?
 
Dar watu wanaishi kwenye stoo,kitanda,jiko la mkaa,kabati la nguo humo humo na mtungi wa gesi,wenye hela wapo huko pembezoni,ukienda mikoani unaenjoy,kwanza msosi wa asili,maji ya kunywa hununui,vyakula wanalima.
Sasa kuna malimbukeni wakitoka Dar basi wanadhani wajanja sana kumbe tunawachora na ugumu wao wa maisha.
 
Kamata mitoto yote ya Dar leta hapa mdukuzi kuja hapa ,Mwachiluwi kuja hapa ,wewe Mad Max kuja hapa ,wapi Souljah boy kuja hapa

Haya na Mimi niko hapa kugombana na Hawa wakuja maana wamelianzisha wenyewe ,Sasa naomba tujibu mashambulizi kwa ustaha
Chenille ushamba dar siyo Tanzania kuna watu hawaijui hiyo dar yenu na wanaishi maisha mazuri sana tena sana
 
Na mingozi yao Ina vidonda vidonda kwa kuumwa na kunguni na kutolala kwa sababu ya joto...njooni NJOMBE muone ngozi zenye Afya

Watu wa Dar ndio wanaoleta UTI na Malaria 🦟 mikoani
 
Hao unaowaongelea sio watu wa Dar, ni watu wenu wa huko huko mikoani waliofanikiwa kufika Dar ndio wamerudi kuwakejeli,

Watu wa Dar tupo humble sana
 
Back
Top Bottom