REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Kifupi waache ufalaYes, nasema ushamba kwa sababu gani kukaa dar si kuwa uko mikoani hakuna watu ambao hawaijui hiyo dar si wazawa ila kutokana na mihangaiko ya maisha wanajua chocho zote za dar wanajua uhuni wote wa dar sasa nyie mkienda uko nakuaanza aaah ona hii siyo kama dar, mpo kijijini msibani anaulizia uber, anaulizia hivi uku hakuna night club, akiona wa mama wanaenda kuteka maji kisimani anashangaa shubamit yani wana ujinga ujinga as if hawajui hii ni tz
Ebu ongezeeeni ujinga wao mwingine
Wanakuja wa dar mda si mrefuAcha niweke popcorn pembeni nisubiri vita
Vita ya moto motoπAcha niweke popcorn pembeni nisubiri vita
Wanaume Marijali hawawezi kuwa na hizo tabia za kichoko.....wajinga tu haoYes, nasema ushamba kwa sababu gani kukaa dar si kuwa uko mikoani hakuna watu ambao hawaijui hiyo dar si wazawa ila kutokana na mihangaiko ya maisha wanajua chocho zote za dar wanajua uhuni wote wa dar sasa nyie mkienda uko nakuaanza aaah ona hii siyo kama dar, mpo kijijini msibani anaulizia uber, anaulizia hivi uku hakuna night club, akiona wa mama wanaenda kuteka maji kisimani anashangaa shubamit yani wana ujinga ujinga as if hawajui hii ni tz
Ebu ongezeeeni ujinga wao mwingine
Kabisa, ni kuonesha kukomaa akiliUkiona MTU wa maisha hayo ujue huku DAR amepigika Sana na anakula mlo mmoja Kwa siku huku amepanga chumba kimoja TANDALE....Sisi wengine hapa DAR ni wazawa lkn tukienda mikoa ya watu tunakuwa wapole Sana kutokana na maisha mazuri wanayoishi
kwamba wanashangaa jamaa kapakia dumu4 za maji ananyonga baiskeli aina ya phonex anapandisha mlima kama hana akili nzuri dah πYes, nasema ushamba kwa sababu gani kukaa dar si kuwa uko mikoani hakuna watu ambao hawaijui hiyo dar si wazawa ila kutokana na mihangaiko ya maisha wanajua chocho zote za dar wanajua uhuni wote wa dar sasa nyie mkienda uko nakuaanza aaah ona hii siyo kama dar, mpo kijijini msibani anaulizia uber, anaulizia hivi uku hakuna night club, akiona wa mama wanaenda kuteka maji kisimani anashangaa shubamit yani wana ujinga ujinga as if hawajui hii ni tz
Ebu ongezeeeni ujinga wao mwingine
Hahahaha π π π π anajiona ametoka ulayaWana ukuda pia wa kulinganisha bei na dar. Utasikia hii juisi dar tunauziwa buku 5 tu..sasa si ungetoka nazo za kukutosha dar
Huyo sio wa Dar ni wa huko huko Mkoani kwenu Kigoma kwaiyo ni LimbukeniYes, nasema ushamba kwa sababu gani kukaa dar si kuwa uko mikoani hakuna watu ambao hawaijui hiyo dar si wazawa ila kutokana na mihangaiko ya maisha wanajua chocho zote za dar wanajua uhuni wote wa dar sasa nyie mkienda uko nakuaanza aaah ona hii siyo kama dar, mpo kijijini msibani anaulizia uber, anaulizia hivi uku hakuna night club, akiona wa mama wanaenda kuteka maji kisimani anashangaa shubamit yani wana ujinga ujinga as if hawajui hii ni tz
Ebu ongezeeeni ujinga wao mwingine
Tena ufala kweli unamuona mtu mzima kavaa kipensi kaweka na head phone kavaa na open π na shati la mikono mirefu yeye kila kitu anashangaa tu mpaka unasema uyu mzima kweliKifupi waache ufala
Haaa haaa si ndio ushamba huoWana ukuda pia wa kulinganisha bei na dar. Utasikia hii juisi dar tunauziwa buku 5 tu..sasa si ungetoka nazo za kukutosha dar
Endekea kufikiri utakumbuka mwingineYes, nasema ushamba kwa sababu gani kukaa dar si kuwa uko mikoani hakuna watu ambao hawaijui hiyo dar si wazawa ila kutokana na mihangaiko ya maisha wanajua chocho zote za dar wanajua uhuni wote wa dar sasa nyie mkienda uko nakuaanza aaah ona hii siyo kama dar, mpo kijijini msibani anaulizia uber, anaulizia hivi uku hakuna night club, akiona wa mama wanaenda kuteka maji kisimani anashangaa shubamit yani wana ujinga ujinga as if hawajui hii ni tz
Ebu ongezeeeni ujinga wao mwingine
Haaa haaa leo patachimbika hapaJuzi kwenye msiba mc alisema wageni kutoka Dar waende kula pamoja na wachungaji nyumba ya jirani....
Nilicheka sanaa