Watu wa Dar es Salaam mnatuhumiwa kwa kuwa na maono mafupi

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
"Mto Ruaha kufikia leo, umefikisha siku ya 126 ukiwa umekauka yaani hauna maji, lakini mwananchi wa Kariakoo anaidai serikali umeme, hadithi ya maji kukauka haelewi. Umeme utapatikanaje ikiwa Mto Ruaha unapeleka maji Mtera, Kidatu umekauka,"

Habib Mchage Mwenyekiti wa MECIRA.
 
"Mto Ruaha kufikia leo, umefikisha siku ya 126 ukiwa umekauka yaani hauna maji, lakini mwananchi wa Kariakoo anaidai serikali umeme, hadithi ya maji kukauka haelewi. Umeme utapatikanaje ikiwa Mto Ruaha unapeleka maji Mtera, Kidatu umekauka"
@HabibMchange
, Mwenyekiti wa MECIRA

🤔🤔🤔🤔🤔🤔 mpka leo hii tupo kwenye dunia ya kuzalisha umeme kwa maji ya mto wakati wenzetu washaama huko zamani kabisa.
 
wanafanyaje hawa wanzenu- au ni uendelezo wa kuacha kulala na wanawake watu wanalala na wanaume wenzao. Unawezaje kufikiri kuacha kutumia umeme wa maji? wapi wameacha? au unachanganya na kulazimika kuacha?
 
Kwa hiyo umeme unapatikana kwenye maji tu? Kuna nchi hazina mito lakini full umeme
 
Hawa watu wa Dar walishapewa za uso kuhusu kupenda kulalamika na chifu mkuu aliyepewa udaktari hivi majuzi....
 
wanafanyaje hawa wanzenu- au ni uendelezo wa kuacha kulala na wanawake watu wanalala na wanaume wenzao. Unawezaje kufikiri kuacha kutumia umeme wa maji? wapi wameacha? au unachanganya na kulazimika kuacha?
Kenya wanatumi wind power plant aya unasemaje chief
 
"Mto Ruaha kufikia leo, umefikisha siku ya 126 ukiwa umekauka yaani hauna maji, lakini mwananchi wa Kariakoo anaidai serikali umeme, hadithi ya maji kukauka haelewi. Umeme utapatikanaje ikiwa Mto Ruaha unapeleka maji Mtera, Kidatu umekauka," Habib Mchage Mwenyekiti wa MECIRA.
Rubbish!
 
Badala ya kutafuta long term solution, wanatafuta vijisababu vya kujifichia. Hao ndo wasomi wetu.
 
"Mto Ruaha kufikia leo, umefikisha siku ya 126 ukiwa umekauka yaani hauna maji, lakini mwananchi wa Kariakoo anaidai serikali umeme, hadithi ya maji kukauka haelewi. Umeme utapatikanaje ikiwa Mto Ruaha unapeleka maji Mtera, Kidatu umekauka," Habib Mchage Mwenyekiti wa MECIRA.
Uwezo wako wa kufikili umeshia hapo. CCM itaendelea kutawala milele. Akili kishingo.
 
Kwa hiyo umeme unapatikana kwenye maji tu? Kuna nchi hazina mito lakini full umeme
Taja kabisa na nchi yenyewe tukahakikishe kua ni kweli haina mto ila inadhalisha umeme wa kutosha
 
Back
Top Bottom