π€π€π€π€π€π€ mpka leo hii tupo kwenye dunia ya kuzalisha umeme kwa maji ya mto wakati wenzetu washaama huko zamani kabisa."Mto Ruaha kufikia leo, umefikisha siku ya 126 ukiwa umekauka yaani hauna maji, lakini mwananchi wa Kariakoo anaidai serikali umeme, hadithi ya maji kukauka haelewi. Umeme utapatikanaje ikiwa Mto Ruaha unapeleka maji Mtera, Kidatu umekauka"
@HabibMchange
, Mwenyekiti wa MECIRA
wanafanyaje hawa wanzenu- au ni uendelezo wa kuacha kulala na wanawake watu wanalala na wanaume wenzao. Unawezaje kufikiri kuacha kutumia umeme wa maji? wapi wameacha? au unachanganya na kulazimika kuacha?π€π€π€π€π€π€ mpka leo hii tupo kwenye dunia ya kuzalisha umeme kwa maji ya mto wakati wenzetu washaama huko zamani kabisa.
Kenya wanatumi wind power plant aya unasemaje chiefwanafanyaje hawa wanzenu- au ni uendelezo wa kuacha kulala na wanawake watu wanalala na wanaume wenzao. Unawezaje kufikiri kuacha kutumia umeme wa maji? wapi wameacha? au unachanganya na kulazimika kuacha?
Rubbish!"Mto Ruaha kufikia leo, umefikisha siku ya 126 ukiwa umekauka yaani hauna maji, lakini mwananchi wa Kariakoo anaidai serikali umeme, hadithi ya maji kukauka haelewi. Umeme utapatikanaje ikiwa Mto Ruaha unapeleka maji Mtera, Kidatu umekauka," Habib Mchage Mwenyekiti wa MECIRA.
Badala ya kutafuta long term solution, wanatafuta vijisababu vya kujifichia. Hao ndo wasomi wetu."Mto Ruaha kufikia leo, umefikisha siku ya 126 ukiwa umekauka yaani hauna maji, lakini mwananchi wa Kariakoo anaidai serikali umeme, hadithi ya maji kukauka haelewi. Umeme utapatikanaje ikiwa Mto Ruaha unapeleka maji Mtera, Kidatu umekauka," Habib Mchage Mwenyekiti wa MECIRA.
Uwezo wako wa kufikili umeshia hapo. CCM itaendelea kutawala milele. Akili kishingo."Mto Ruaha kufikia leo, umefikisha siku ya 126 ukiwa umekauka yaani hauna maji, lakini mwananchi wa Kariakoo anaidai serikali umeme, hadithi ya maji kukauka haelewi. Umeme utapatikanaje ikiwa Mto Ruaha unapeleka maji Mtera, Kidatu umekauka," Habib Mchage Mwenyekiti wa MECIRA.
Jaribu kutembea nchi za watu wewe, unafikiri viongozi wote duniani Wana akili mbovu Kama viongozi wa ccm?wapi kuna full umeme- nitajie
Taja kabisa na nchi yenyewe tukahakikishe kua ni kweli haina mto ila inadhalisha umeme wa kutoshaKwa hiyo umeme unapatikana kwenye maji tu? Kuna nchi hazina mito lakini full umeme
Nchi ya wapiga diliπ€π€π€π€π€π€ mpka leo hii tupo kwenye dunia ya kuzalisha umeme kwa maji ya mto wakati wenzetu washaama huko zamani kabisa.