DSM ni jiji kubwa sana lenye mchanganyiko wa tamaduni kibao, watu wa mataifa wengi, fani nyingi, n.k. Halai hii imewea kuruhusu kuonekana ni jambo la kawaida mwanaume kusuka, kuvaa hereni, kuvaa kipensi, n.k.
Lakini huku mikoani yakiwemo majiji madogo, hali ipo tofauti sana, tamaduni zinazozingatiwa hazivumilii wanaume kusuka, kuvaa hereni na vitu vingine vilivozoeleka kuwa ni vya wanawake