Mdigokhan
JF-Expert Member
- May 2, 2022
- 942
- 2,198
Watu dar naomba kuwauliza ivi ex ni nani..?Ni mwanaume/Mwanamke ulielala nae au uliempenda au kuishi nae Kisha mkaachana ndio mnamuita ex..?
Ex wangu fulani Kwa kigezo kipi mpaka awe EX..??
Mtusaidie watu wa mikoani mana wengi hatuelewi 🙏 Hatuna cha kuwalipa ila mkija mkoani kwenye misiba tunawaahidi mtakuwa wa kwanza Kula ili muwahi kurudi dar..