The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Wee mlimbwende yani hulali ndio maana kibaruani unasinziasinziaSihitaji kujua uelewa wako,comment yako inajieleza tosha.Muhimu ni acha UJUHA.
Wewe unavyofikiaga kwa shemejiako Vingunguti ukajua basi watu wote Dar wanakaa Vingunguti. Dar ndo kitovu cha uchumi hapa Tz kaka hilo jiji lenyewe la Ntyuka ni la kisiasa tuu hamna kitu.dodoma saivi ni jiji ko dar tunaita mkoani now,,,,,afu dar kuna shdaaa tena saaaaaaanaaa narudia tena kuna taabu sio ndogoo ,,, kwanza jiji lenyewe tuu linakera full jam kero za majirani kwa sababu karibia dar nzma naweza sema ni uswazi sababu ya msongamano wa makazi [emoji23][emoji23][emoji23] hakuna pa kupumulia, pesa inapatikana kwa tabu pia inaisha gafla [emoji23][emoji23][emoji23]hasa ukiwa mtu wa viwanja ndo hutafanikiwa kabsa utaishia kula bata tuuu mwisho unakosa ata nauli ya kukutoa forty forty kwenda kwenu vingunguti spenko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila iyo tabia ya kujisikia na kujiona wengi wanayo
asee karibun jiji la dodoma sera za serikali zpo huku,,,,, wale wa dar mnaopanga nawasalimia sana njoon tujenge dodoma kumekua ni fayaaaaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hahahahahahaisee upo nchi za watu umevimba mapumbu halafu unatukana wabongo eti tunaishi kisengesenge!
Shika adabu yako mwana usiye na haya wewe.
bitter truthπππWewe unavyofikiaga kwa shemejiako Vingunguti ukajua basi watu wote Dar wanakaa Vingunguti. Dar ndo kitovu cha uchumi hapa Tz kaka hilo jiji lenyewe la Ntyuka ni la kisiasa tuu hamna kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha tukio hili:
Mwaka jana nilienda kikazi mkoa wa Lindi kufanya Technical Audit kwenye miradi ya barabara. Sasa jamaa mmoja (school mate (sekondari)) katika wilaya mojawapo ni mganga mkuu wa mifugo (w), tulipoonana alinichenga hadi nikamshangaa. Sijui alidhani nitakuwa mzigo kwake? Hakujua nilifika pale kufanya kazi ambayo nilikuwa nalipwa vizuri tena vizuri sana!
Ndugu yangu EC kama unapita hapa JF elewa kwamba sikuwa na haja ya kufika kwako.