Watu wa Dar kanusheni na hili

Watu wa Dar kanusheni na hili

Hahaha Kuna watu wandhani walizaliwa ili wasaidiwe. Maisha haya nadhani kila mtu angefurahi kama angepata sehemu ya kuegemea. lakini Haipo hiyo sehemu. Ukiwa unaenda kumjulia khali ndugu au rafiki yako, ni jambo jema. lakini ukianza mizinga kila mtu atakukimbia, na ndio utasikia story hizo za kesho an busy. Kila mtu afanye sehemu yake ya uzalishaji tuache utegemezi usio kuwa WALAZIMA. Tutembeleane pale inapobidi na tuwe waelewa,Kwakuwa wewe HAUKO busy ,haina maana inakuwa hivyo kwa kila mtu.
 
dodoma saivi ni jiji ko dar tunaita mkoani now,,,,,afu dar kuna shdaaa tena saaaaaaanaaa narudia tena kuna taabu sio ndogoo ,,, kwanza jiji lenyewe tuu linakera full jam kero za majirani kwa sababu karibia dar nzma naweza sema ni uswazi sababu ya msongamano wa makazi 😂😂😂 hakuna pa kupumulia, pesa inapatikana kwa tabu pia inaisha gafla 😂😂😂hasa ukiwa mtu wa viwanja ndo hutafanikiwa kabsa utaishia kula bata tuuu mwisho unakosa ata nauli ya kukutoa forty forty kwenda kwenu vingunguti spenko😂😂😂😂😂😂 ila iyo tabia ya kujisikia na kujiona wengi wanayo
asee karibun jiji la dodoma sera za serikali zpo huku,,,,, wale wa dar mnaopanga nawasalimia sana njoon tujenge dodoma kumekua ni fayaaaaaaa🔥🔥🔥🔥
 
Hii ya kweli kabisa daah... Natamani kumtaja jamaa mmoja wa hapo Dar....
 
dodoma saivi ni jiji ko dar tunaita mkoani now,,,,,afu dar kuna shdaaa tena saaaaaaanaaa narudia tena kuna taabu sio ndogoo ,,, kwanza jiji lenyewe tuu linakera full jam kero za majirani kwa sababu karibia dar nzma naweza sema ni uswazi sababu ya msongamano wa makazi [emoji23][emoji23][emoji23] hakuna pa kupumulia, pesa inapatikana kwa tabu pia inaisha gafla [emoji23][emoji23][emoji23]hasa ukiwa mtu wa viwanja ndo hutafanikiwa kabsa utaishia kula bata tuuu mwisho unakosa ata nauli ya kukutoa forty forty kwenda kwenu vingunguti spenko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila iyo tabia ya kujisikia na kujiona wengi wanayo
asee karibun jiji la dodoma sera za serikali zpo huku,,,,, wale wa dar mnaopanga nawasalimia sana njoon tujenge dodoma kumekua ni fayaaaaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wewe unavyofikiaga kwa shemejiako Vingunguti ukajua basi watu wote Dar wanakaa Vingunguti. Dar ndo kitovu cha uchumi hapa Tz kaka hilo jiji lenyewe la Ntyuka ni la kisiasa tuu hamna kitu.
 
Hapo alishakusoma uko mtupu, akijua kabisa uko vizuri mfukoni mbona angekutafuta mwenyewe
 
Umenikumbusha tukio hili:
Mwaka jana nilienda kikazi mkoa wa Lindi kufanya Technical Audit kwenye miradi ya barabara. Sasa jamaa mmoja (school mate (sekondari)) katika wilaya mojawapo ni mganga mkuu wa mifugo (w), tulipoonana alinichenga hadi nikamshangaa. Sijui alidhani nitakuwa mzigo kwake? Hakujua nilifika pale kufanya kazi ambayo nilikuwa nalipwa vizuri tena vizuri sana!
Ndugu yangu EC kama unapita hapa JF elewa kwamba sikuwa na haja ya kufika kwako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom