Watu wa Dar na kingereza cha hapa na pale

U know nilivyoanza kusoma hii thread i was like kwani nani amemkwanza mm1 leo?
Na wewe bora utumie lugha moja maana ushachapia chapia... au na wewe ni wa Dar japo ni Mndele
 
Sisi tuliosoma seminary za kikatoliki huwa tunawamalizaga na kiingereza kinachochanganywa na kilatini.. Hapo lazima asepe tu.... Ha ha ha haaaa, ati!!! Watu wa Dar! Iko shida hapo Dar.
 
Sisi tuliosoma seminary za kikatoliki huwa tunawamalizaga na kiingereza kinachochanganywa na kilatini.. Hapo lazima asepe tu.... Ha ha ha haaaa, ati!!! Watu wa Dar! Iko shida hapo Dar.
Haiingii Akilini unaposema umesomea shule za kikatoliki it means umekula sana minguruwe minyama haramu... so kama haupo dar basi sawa ila kama upo dar basi jua umo kwenye kumbo hilo hilo...... Kilatini na Kiingereza wapi na wapi ushawasikia Waitaliano wakiongea English ni vitimbi tupu... ni full comedian...
 
Kiswahili ni kigumu ati kuna baadhi ya maneno unaongea au unakuta lile neno mtu atashindwa kunielewa unatafuta lugha nyepesi kuliweka lile neno ili mtu akuelewe........wakati huo huo watu wa kiswaenglish kwao English fluent hawezi akatambaa yani akiongea utaona jasho mpaka kwenye meno
 
Mapovu ya nn brother, mie sipo Dar...... Kwani Kiswanglish kinaoana au mmeipitisha na inatambulika?
 
Waaat!aaah yani ths thread is liiiiiiiiike... hivi mtunzi uliwaza wat?am trully suprised kwa such thread.anyways ni thread amaizing ila imejaa figisufisu za kisupush
 
sasa nguruwe kala yy ww imekukera nn
 
...Waitaliano wakiongea English ni vitimbi tupu... ni full comedian...

duh, umenikimbusha mbali kweli ... Bologna & Verona enzi hizo. kweli ni comedy, unajikuta unacheka siku nzima
 
me nakula nashangaa unaita haramu wkt kwangu ni halal
Unajua Vyakula Halal na Haramu wewe bora uulize na sio kusema Kwako ni Halal... Kula Kunguru basi maana ni jamii moja... Huyo Mnyama Kwanza Hachinjwi.. anauliwa tu kibudu... DiniZenu Mmesoma wapi? ndio maana kwenye Hoja za Hakuna Mungu mnaanguka sana... hamumjui hata Mungu wenu mnayemuabudu.... mwadhania anapenda wasiotaka atakacho...
 
sasa nguruwe kala yy ww imekukera nn

Hili jibu lako limenikumbusha mbali sana.. wakati tupo chuo et ukiskia dem wako anatoka na jamaa mwingine. Washkaji wanasema yan wenzako wanapata raha huko we kinakuuuma nini sasa.. Yan wenzako wanakula starehe we unauumia huku.. haahahah halaf unaapa kabisa kwa Mungu et iyo roho ya wenzako wanaenjoy weunaumia isije na ifeeee hahha haa
 
Tabu zaidi iko mlimani city ukipita mitaa Ile dada zetu sijui wameambiwa pale hawapaswi kuongea kiswahili maana ni shidah sasa ukute kasoma kayumba kaungaunga na cha alehandro na barbarita unaweza ona aibu weye na aongeae ni mwingine
 
Waaat!aaah yani ths thread is liiiiiiiiike... hivi mtunzi uliwaza wat?am trully suprised kwa such thread.anyways ni thread amaizing ila imejaa figisufisu za kisupush

Hahahahaa. Umeongea kule kule.
 
Wewe lazima utakuwa house negro lugha inakuuma kuliko malkia mwenyewe.
 
wa daresalammmmmm akikutongoza huongei kingereza uko hatarini kuachika wana ulimbukeni wakishajua hzo tense tu hawajui ni lugha
 
sasa kwangu ni halal ww ng'ang'ana unavyojua na kwa taarifa yako cku iz nguruwe na chinjwa cio kma zaman wana piga nyundo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…