Malcolm X5
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 1,639
- 2,752
TehetetehtehSasa kama watu wa dar wana kingereza cha hapa na pale
nyie wa vijijini ambao kiswahili mnajifunzia shule sijui mnaongea kingereza cha aina gani
najiuliza nakosa jibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TehetetehtehSasa kama watu wa dar wana kingereza cha hapa na pale
nyie wa vijijini ambao kiswahili mnajifunzia shule sijui mnaongea kingereza cha aina gani
najiuliza nakosa jibu
Wote ni nyumbu.Hivi kwanini Madada Ukimtongoza tu anakugeuza Mdingi yake... umgharamie kila kitu ukimtosa ndio mshatengana...
Mbona unataka kulazimisha kila mtu awe kama wewe? Wewe si haramu kwako? Basi usile, na anayekula usimpigie kelele.Hili jibu lako limenikumbusha mbali sana.. wakati tupo chuo et ukiskia dem wako anatoka na jamaa mwingine. Washkaji wanasema yan wenzako wanapata raha huko we kinakuuuma nini sasa.. Yan wenzako wanakula starehe we unauumia huku.. haahahah halaf unaapa kabisa kwa Mungu et iyo roho ya wenzako wanaenjoy weunaumia isije na ifeeee hahha haa
Yaani wanakera sanaHahaaaaaa
Hizi QT hiziiii ni shidaaa
Kila mtu na imani yake juu ya huyo mdudu. Asiekula asimuhukumu alae na alae asimuhumu asiekulaUnajua Vyakula Halal na Haramu wewe bora uulize na sio kusema Kwako ni Halal... Kula Kunguru basi maana ni jamii moja... Huyo Mnyama Kwanza Hachinjwi.. anauliwa tu kibudu... DiniZenu Mmesoma wapi? ndio maana kwenye Hoja za Hakuna Mungu mnaanguka sana... hamumjui hata Mungu wenu mnayemuabudu.... mwadhania anapenda wasiotaka atakacho...
No nasema No... Kula Mdudu si Imani na haipo kwenye Imani zaidi ya Urafi tu.. Dini za Kiyahudi, Ukristo na Uislam zinakataza so ulaji wa Nguluwe hauingii katika Imani zaidi ya Urafi... wewe usiyejua Dini ukiongea ni kama uharo mtupu... bora uketi pembeni watu waelewe kama wanayofanya ni sawa au si sawa na kama si sawa waelewe wanakosea na ni kwa Matakwa yao na hawatakiwi kuwa sehemu ya Dini hizo.. walioshika Dini haswa huitwa Watakatifu na hawawezi fanya makosa mepesi kama haya... Katafute kwenye vitabu vyote vya Dini hizo sehemu inayoruhusu ulaji wa Pig zaidi ya Uislam huruhusu pale kunapokuwa na Shida ya Njaa ya kukufanya upoteze uhai... tafuta ukweli ukuweke kwenye ujenzi huruKila mtu na imani yake juu ya huyo mdudu. Asiekula asimuhukumu alae na alae asimuhumu asiekula
Mimi biblia yangu inaniruhusu kumla huyo mdudu. Tuko agano jipya si la kaleNo nasema No... Kula Mdudu si Imani na haipo kwenye Imani zaidi ya Urafi tu.. Dini za Kiyahudi, Ukristo na Uislam zinakataza so ulaji wa Nguluwe hauingii katika Imani zaidi ya Urafi... wewe usiyejua Dini ukiongea ni kama uharo mtupu... bora uketi pembeni watu waelewe kama wanayofanya ni sawa au si sawa na kama si sawa waelewe wanakosea na ni kwa Matakwa yao na hawatakiwi kuwa sehemu ya Dini hizo.. walioshika Dini haswa huitwa Watakatifu na hawawezi fanya makosa mepesi kama haya... Katafute kwenye vitabu vyote vya Dini hizo sehemu inayoruhusu ulaji wa Pig zaidi ya Uislam huruhusu pale kunapokuwa na Shida ya Njaa ya kukufanya upoteze uhai... tafuta ukweli ukuweke kwenye ujenzi huru
Sio kila mtu akiambiwa ndio anahukumiwa jifunzeni kutafsiri vizuri...
Na Huko Mbinguni mnapoenda ni kupya pia au ni same? na maagizo Mungu wenu kabadilisha? na Hilo Agano mliwekeana na nani weka Ushahidi wa Story za Biblia na aliyekuambia ule ni nani leo ueleweke...Mimi biblia yangu inaniruhusu kumla huyo mdudu. Tuko agano jipya si la kale
Yu know wara m saying..