matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Wakuu najiuliza tu.
Wachungaji na mashehe mashabiki
Waumini na washiriki mashabiki.
Kwa ulaya EPL,Laliga,etc ila futiboli la kibongo linapromote uchawi na ndumba. Ndio maana Kuna Hadi benchi la kiganga maarufu kama benchi la ufundi.
Sasa ni Halali Kwa wasio na dini kuenzi tamaduni zetu za kishirikina na kiganga katika tasnia mbalimbali za maisha.
Swali langu mashehe na wachungaji na waumini wao wanapateje uhalali kujihusisha au kushabikia kwenye hivi tu kama kariakoo dabi au soka letu na ligi yetu ya kienyeji wakati huohuo wabaki katika uhalali wa nafasi zao kiimani.
Nimewaza nikaona kama Kuna kitu hakiko sawa.