matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Acha umbumbu kwani una uhakika gani wazungu hawafanyi mambo ya kimila mfano angalia yalivyokuwa maandalizi ya mazishi ya malkia Elizabeth tatizo waafrika tunawaona wazungu kama malaika hata wao wana ushenzi wao.Wakuu najiuliza tu.
Wachungaji na mashehe mashabiki
Waumini na washiriki mashabiki.
Kwa ulaya EPL,Laliga,etc ila futiboli la kibongo linapromote uchawi na ndumba. Ndio maana Kuna Hadi benchi la kiganga maarufu kama benchi la ufundi.
Sasa ni Halali Kwa wasio na dini kuenzi tamaduni zetu za kishirikina na kiganga katika tasnia mbalimbali za maisha.
Swali langu mashehe na wachungaji na waumini wao wanapateje uhalali kujihusisha au kushabikia kwenye hivi tu kama kariakoo dabi au soka letu na ligi yetu ya kienyeji wakati huohuo wabaki katika uhalali wa nafasi zao kiimani.
Nimewaza nikaona kama Kuna kitu hakiko sawa.
Acha umbumbu kwani una uhakika gani wazungu hawafanyi mambo ya kimila mfano angalia yalivyokuwa maandalizi ya mazishi ya malkia Elizabeth tatizo waafrika tunawaona wazungu kama malaika hata wao wana ushenzi wao.
SawaAmka usingizini, hao wanaojiita watumishi ndio wa kwanza kununua na kujifunza uchawi na maarifa ya giza kutoka Afrika magharibi na mashariki ya mbali.
Asante Kwa oniSio kama wewe ndio akili yako haipo sawa?
Hayo mambo ya kichawi ni dhana isiyo na uthibitisho na ni mambo ambayo hutendeka gizani kwa wasiomwamini Mungu. Mtu yeyote huvutwa na uchezaji ulio wazi. kama kuna ushirikina sijahusishwa wala sihusiki. Ni sawa na kwenda kununua nguo dukani lakini mmiliki wa duka anatumia ushirikina kwenye duka lake. Mimi kama mteja sihusiki na ushirikina wake! Ila wakisema mashabiki ni lazima tushiriki ushirikina hapo hiyo timu nitaachana nayo!Wakuu najiuliza tu.
Wachungaji na mashehe mashabiki
Waumini na washiriki mashabiki.
Kwa ulaya EPL,Laliga,etc ila futiboli la kibongo linapromote uchawi na ndumba. Ndio maana Kuna Hadi benchi la kiganga maarufu kama benchi la ufundi.
Sasa ni Halali Kwa wasio na dini kuenzi tamaduni zetu za kishirikina na kiganga katika tasnia mbalimbali za maisha.
Swali langu mashehe na wachungaji na waumini wao wanapateje uhalali kujihusisha au kushabikia kwenye hivi tu kama kariakoo dabi au soka letu na ligi yetu ya kienyeji wakati huohuo wabaki katika uhalali wa nafasi zao kiimani.
Nimewaza nikaona kama Kuna kitu hakiko sawa.
Ushoga ni tabia zisizo kubalika kama tabia nyingine.Tulia kwanza Mkuu hao watu wa dini wanawezaje kushangilia mpira wa mambele hasa EPL unao support ushoga hadharani hadi captains wao wanavaa badge za ushoga?
Afadhali ya soka la afrika ( bongo) sababu uchawi hufanyika sirini mara nyingi na watu hatuoni ukifanywa hadharani tukauona kabisa. Kwahiyo ata ushahidi wa uchawi unakosekana kuliko wale wazungu na ushoga wao hadharani.
Mkuu umeongea vizur ila ni nje ya mada kidogo,,, sababu mada inasema uchawi katika soka na matumizi yake kwa wanamichezo wa kiafrika.Ushoga ni tabia zisizo kubalika kama tabia nyingine.
Na Ushoga upo katika jamii zote.
Kuna baadhi ya mashoga huwa wanajirekebisha na kuwa binadamu wanaokubalika kwa jamii na Mungu wao.
Mashoga wasichukuliwa kama ndio wana tabia mbaya zisizo rekebishika ni mazingira tu yaliwapelekea kuwa hivyo.
Jukumu letu sio kuwabagua bali kujitahidi kuwaelekeza tabia zinazofaa na kuwachukulia kama binadamu wengine.
Hahaha Bora mtumishi kuunga uchawi wa Siri usio na ushahidi kuliko ushoga wa hadhara EPL na kwingineko Kwa wakina Gays and Gentlemen.Tulia kwanza Mkuu hao watu wa dini wanawezaje kushangilia mpira wa mambele hasa EPL unao support ushoga hadharani hadi captains wao wanavaa badge za ushoga?
Afadhali ya soka la afrika ( bongo) sababu uchawi hufanyika sirini mara nyingi na watu hatuoni ukifanywa hadharani tukauona kabisa. Kwahiyo ata ushahidi wa uchawi unakosekana kuliko wale wazungu na ushoga wao hadharani.
Umeandikiwa Kwa hikimaMkuu umeongea vizur ila ni nje ya mada kidogo,,, sababu mada inasema uchawi katika soka na matumizi yake kwa wanamichezo wa kiafrika.
Lakini mtoa mada akasema afadhali ya soka la ulaya, ndipo nikampa mfano wa promotion za ushoga zinazopatikana katika ligi zao, kiujumla hayo yote ni mambo maovu na ni ya kukemewa kabisa.
Lakini kutokna na comment yako basi hata uchawi nao ni tabia tu ya mtu ambayo nayo inaweza kubadilika kabisa na mchawi akawa mtu mwema kama watu wengine, basi tuwaelekeze wachawi nao waache iyo tabia mbaya ambayo wanaifanya.
Fauka na hayo, uchawi unapigwa vita na watu wengi hata wazungu wenyewe kwahiyo inawezekana mtu akaacha kiurahisi tofauti na huo ushoga ambao umesema ni tabia mbaya na kweli ni mbaya ila kwenye ligi za wazungu wana support sana hizo vitendo na hadi kuwaheshimu sana kutokana na uchaguzi wao wa kuwa katika janga hilo.
Natumaini utakua umenipata sasa ila nilijibu vile kwa minajili ya hoja ya mtoa mada inayohusu soka moja kwa moja.
Ila unajua nini Mkuu soka lina mambo mengi sana ya hovyo ila wengi hatufati yale mambo yao bali tunafata ushabiki wa soka tu lenyewe na sio mambo yao yale,,Hahaha Bora mtumishi kuunga uchawi wa Siri usio na ushahidi kuliko ushoga wa hadhara EPL na kwingineko Kwa wakina Gays and Gentlemen.
Nimeelewa hoja yako. Manabii wataifanyia kazi
Kama unaongelea Uchawi katika soka basi usiwaongelee Mashoga utaenda nje ya Mada.Mkuu umeongea vizur ila ni nje ya mada kidogo,,, sababu mada inasema uchawi katika soka na matumizi yake kwa wanamichezo wa kiafrika.
Lakini mtoa mada akasema afadhali ya soka la ulaya, ndipo nikampa mfano wa promotion za ushoga zinazopatikana katika ligi zao, kiujumla hayo yote ni mambo maovu na ni ya kukemewa kabisa.
Lakini kutokna na comment yako basi hata uchawi nao ni tabia tu ya mtu ambayo nayo inaweza kubadilika kabisa na mchawi akawa mtu mwema kama watu wengine, basi tuwaelekeze wachawi nao waache iyo tabia mbaya ambayo wanaifanya.
Fauka na hayo, uchawi unapigwa vita na watu wengi hata wazungu wenyewe kwahiyo inawezekana mtu akaacha kiurahisi tofauti na huo ushoga ambao umesema ni tabia mbaya na kweli ni mbaya ila kwenye ligi za wazungu wana support sana hizo vitendo na hadi kuwaheshimu sana kutokana na uchaguzi wao wa kuwa katika janga hilo.
Natumaini utakua umenipata sasa ila nilijibu vile kwa minajili ya hoja ya mtoa mada inayohusu soka moja kwa moja.
Mkuu rudia kusoma comment #11 utaelewa vizuri sana umekosea ukaquote wewe na ukatolea ufafanuzi uliopo nje ya mada kabisa,, mwenye uzi akasoma comment hiyo hiyo #11 na akaelewa vizuri tu.Kama unaongelea Uchawi katika soka basi usiwaongelee Mashoga utaenda nje ya Mada.
Pili Una uhakika kila penye soka pana Uchawi ?
Soka ni soka na Uchawi ni Uchawi.
Kama Mada inasema uchawi katika soka basi wanatakiwa wachangie Wachawi wenyewe na watoe uthibitisho namna wanavyofanya huo uchawi katika soka.
La mada itakuwa inaelea hewani tu.
Unazungumzia tukio la wala mihogo kuwamwagia waarabu maji yaliyokoshea maiti?Wakuu najiuliza tu.