Yaani nimeshangaa kumbe ndiyo maana hiki kijiji ni maskini na wananchi wa hivi vijiji hawajielewi ikiwemo kijiji cha Mpwayungu. kijiji cha Mpwayungu watu wote ni wanachama wa CCM.
CCM imeshika mizizi mkoa wa Dodoma na vijiji vyake vya mkoa huo ikiwemo kijiji cha mpwayungu. CCM imeshika mizizi kijiji cha Mpwayungu almaarufu Mpwayungu village.
CCM oyeeee, Mpwayungu oyee! Popote alipo mama na sisi Wanampwayungu tupo.