no wonder Dodoma ni mkoa maskini balaa !!Yaani nimeshangaa kumbe ndiyo maana hiki kijiji ni maskini na wananchi wa hivi vijiji hawajielewi ikiwemo kijiji cha Mpwayungu. kijiji cha Mpwayungu watu wote ni wanachama wa CCM.
CCM imeshika mizizi mkoa wa Dodoma na vijiji vyake vya mkoa huo ikiwemo kijiji cha mpwayungu. CCM imeshika mizizi kijiji cha Mpwayungu almaarufu Mpwayungu village.
CCM oyeeee, Mpwayungu oyee! Popote alipo mama na sisi Wanampwayungu tupo.
Mpyayungu yupo anaandaa uzi wa watani zake (walimu) sasa hivi.mpwayungu village njoo fasta huku
Yani kuna vumbi la hataree tena jeupe kama chokaaukienda hicho kijiji ukarudi umepaukaa na uso kuwa mweupee utadhani ndondocha ama Zombie.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mpwayungu napafahamu panapakana na hifadhi ya ruaha.
Yaani nimeshangaa kumbe ndiyo maana hiki kijiji ni maskini na wananchi wa hivi vijiji hawajielewi ikiwemo kijiji cha Mpwayungu. kijiji cha Mpwayungu watu wote ni wanachama wa CCM.
CCM imeshika mizizi mkoa wa Dodoma na vijiji vyake vya mkoa huo ikiwemo kijiji cha mpwayungu. CCM imeshika mizizi kijiji cha Mpwayungu almaarufu Mpwayungu village.
CCM oyeeee, Mpwayungu oyee! Popote alipo mama na sisi Wanampwayungu tupo.
AaahahaYaani nimeshangaa kumbe ndiyo maana hiki kijiji ni maskini na wananchi wa hivi vijiji hawajielewi ikiwemo kijiji cha Mpwayungu. kijiji cha Mpwayungu watu wote ni wanachama wa CCM.