Watu wa Dunia ya tatu ndio tunaliwa vichwa na watu wa Dunia ya kwanza?

Pslmp

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2021
Posts
1,612
Reaction score
2,460
Inashangaza sana na inachanganya sana,

Africa ndio kusema inabahati mbaya ama inatengenezewa zengwe ili siku ya siku ije ipukutike?

Ilikuwa chanjo ya AstraZeneca kutiliwa mashaka katika nchi za dunia ya kwanza kwamba zinagandisha damu na baadhi ya nchi ziliikataa hiyo chanjo kutumika kwa watu wake, na baadhi ya nchi kusema, hazitaruhusu kwa waliochanja chanjo hiyo kuingia katika nchi zao, Hatukuona shida huku kwetu tunaotafuniwa kisha kusubiri kumeza

Tukasema,siyo mbaya, tunaweza kuagiza chanjo ya makampuni mengine,

Baadhi ya nchi, tayari zimekwisha agiza chanjo zinazotengenezwa na kampuni ya J & J, lakini nayo, hivi majuzi, badhi ya majimbo huko inskotokea, imeonyesha uharibifu mkubwa na kusababisha kupigwa marufuku kwa chanjo hiyo kutumika katika baadhi ya maeneo huko ilikotengenezwa, piaa kwa Baadhi ya waliochanjwa, wamepimwa na kukutwa kuna mgando wa damu katika miili yao

Maana yangu, si kutaka kuchalenji ubora na uhakika wa chanjo hizi zote endapo kweli zimetengenezwa kuja kupambana na uwezo wa kirusi Aina ya Corona

Hoja yangu ni kutaka kufahamu undani wa marufuku hizi za chanjo hizi, Je, ni njama zinazotengenezwa na watu wa Dunia ya kwanza ili kutuaminisha sisi watu wa dunia ya tatu ambao masuala ya ugunduzi wa chanjo mbalimbali huwa tunasubiri kutafuniwa na kisha sisi kumeza tu kwamba hazifai, kumbe zinafaa na kisha kina mbugila tutengenezewe zisizofaa zaidi ili tuangamie zaidi na zaid?
 
Hoja ni kwamba
Hizi chanjo zinazopigiwa debe Tanzania
Nani yupo tayari kuajibika
Pindi ikitokea side effects
Sio lazima damu kuganda,sijui presha kushuka
Tunaiangalia kesho,
Tunachanjwa leo kinga ya corona Baada ya miaka 10 kupita kuna kuja kutokea effects ya kuzaliwa vilema kwa wingi ,watoto mataira wengi ,kizazi kisicho 'na uwezo wa kuzalisha mbegu za kiume

Watoto wa kike awashiki mimba mfumo umealibiwa 'na chanjo

tumeambiwa na wataalam chanjo hii ya corona inaingilia mfumo wa faragha wa binaadam( DNA
Je,wataalam wetu wa afya wanasemaje?au ndio wanacheza ngoma ya wazungu,
Wazungu awana cha kupoteza vitoto tuwili wameshamaliza kazi
Na
Lengo Lao litatimia endapo afrika watachanjwa kwa wingi 'na uwenda zikatolewa chanjo za aina 2
Og 'na feki Mpango maalum
Ili nalo si la kubeza...
 
Dunia ipo kwenye hatarii saaana mkuu, Sielewi kabisa hili la chanjo

Halafu kunawatu wanarahisisha tu
 
Inashangaza sana na inachanganya sana,

Africa ndio kusema inabahati mbaya ama inatengenezewa zengwe ili siku ya siku ije ipukutike?

Ilikuwa chanjo ya AstraZeneca kutiliwa mashaka katika nchi za dunia ya kwanza kwamba zinagandisha damu na baadhi ya nchi ziliikataa hiyo chanjo kutumika kwa watu wake, na baadhi ya nchi kusema, hazitaruhusu kwa waliochanja chanjo hiyo kuingia katika nchi zao, Hatukuona shida huku kwetu tunaotafuniwa kisha kusubiri kumeza

Tukasema,siyo mbaya, tunaweza kuagiza chanjo ya makampuni mengine,

Baadhi ya nchi, tayari zimekwisha agiza chanjo zinazotengenezwa na kampuni ya J & J, lakini nayo, hivi majuzi, badhi ya majimbo huko inskotokea, imeonyesha uharibifu mkubwa na kusababisha kupigwa marufuku kwa chanjo hiyo kutumika katika baadhi ya maeneo huko ilikotengenezwa, piaa kwa Baadhi ya waliochanjwa, wamepimwa na kukutwa kuna mgando wa damu katika miili yao

Maana yangu, si kutaka kuchalenji ubora na uhakika wa chanjo hizi zote endapo kweli zimetengenezwa kuja kupambana na uwezo wa kirusi Aina ya Corona

Hoja yangu ni kutaka kufahamu undani wa marufuku hizi za chanjo hizi, Je, ni njama zinazotengenezwa na watu wa Dunia ya kwanza ili kutuaminisha sisi watu wa dunia ya tatu ambao masuala ya ugunduzi wa chanjo mbalimbali huwa tunasubiri kutafuniwa na kisha sisi kumeza tu kwamba hazifai, kumbe zinafaa na kisha kina mbugila tutengenezewe zisizofaa zaidi ili tuangamie zaidi na zaid?
Ile chanjo tuloletewa nimesikia huko ilikotokea inawaharibu waliochanjwa
 
Nasikia kuna vichwa maji vinahoji wanaotafuta ukweli kuhusu usalama wa uhai wao wa baada ya kutumia hizi chanjo, eti ni kwa niuni wanahoji,

Hivi, ni mjinga nani ambaye hawezi kuuliza juu ya mashaka ya chanjo hizi xinazoendelea huko duniani?
 
Back
Top Bottom