Watu wa Facebook ni watu wa kipekee duniani

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Hii tabia ya mtu kuweka picha Facebook halafu anaandika hivi "Andika jina lako halafu uone picha ikitabasamu kukuangalia" halafu unakuta comments zipo 234k watu wameandika majina yao huku wakisubiri picha iwachekee huwa inanivunja sana mbavu na kuanza kutafakari kuhusu Tanzania mpya ya viwanda
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png

Andika kituko kinachokufurahisha sana!
 
Wengi huwa ni wageni wa mitandao hivyo wanafanya chochote
 
watumiaji wengi wa fb kibongo bongo ni wageni wa mitandao, kwa hyo wakipata simu yenye access ya internet wanawaza fb tu. wakijua kupost picha ndio shida kila saa wanapost na kuandika vitu vya ajabu, mwingine anapost picha hajui ku_caption, anakuja kuandika caption ya ile picha kwenye wall... full vituko, .... kule napitaga mara mojamoja kuna pages nimezi_like huwa najiffunza baadhi ya vitu na kupata habari, si_like wala ku_comment picha yoyote ile ili nisionekane..
 
Sio hilo tu,mimi nachekaga unakuta mtu amewek kweny page yake hvi ka upload picha ya dem mkaliii wa mtandaoni huko insta afu anaandika "atakaye like na ku comment picha yangu na kui share namfata inbox" wamatu yanafany hvo afu unakuta yanasem "dada ww mzuri umeumbika,nipe namba zako"
 
uwa nawashangaaga sana wa2 wa namna hyob
 
picha za uchi unaambiwa share niku add na wehu wanazishea unakuta picha like 1.5k comment 1k share 500
 
watumiaji wengi wa fb kibongo bongo ni wageni wa mitandao, kwa hyo wakipata simu yenye access ya internet wanawaza fb tu. wakijua kupost picha ndio shida kila saa wanapost na kuandika vitu vya ajabu, mwingine anapost picha hajui ku_caption, anakuja kuandika caption ya ile picha kwenye wall... full vituko, .... kule napitaga mara mojamoja kuna pages nimezi_like huwa najiffunza baadhi ya vitu na kupata habari, si_like wala ku_comment picha yoyote ile ili nisionekane..
Maneno mengi sana, unaandika essay
 
Back
Top Bottom