Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,595
Hii tabia ya mtu kuweka picha Facebook halafu anaandika hivi "Andika jina lako halafu uone picha ikitabasamu kukuangalia" halafu unakuta comments zipo 234k watu wameandika majina yao huku wakisubiri picha iwachekee huwa inanivunja sana mbavu na kuanza kutafakari kuhusu Tanzania mpya ya viwanda
Andika kituko kinachokufurahisha sana!
Andika kituko kinachokufurahisha sana!