Kwa nini usi hi delete kabisa account yako kuondoa aibu mkuu??Mi huwa nachungulia kama dk 3 au 5, nikiona mtu anakuja may be jobmate nalog out fasta..maana ni aibu kwangu!
😀😀Kwa nini usi hi delete kabisa account yako kuondoa aibu mkuu??
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
uwa nawashangaaga sana wa2 wa namna hyobSio hilo tu,mimi nachekaga unakuta mtu amewek kweny page yake hvi ka upload picha ya dem mkaliii wa mtandaoni huko insta afu anaandika "atakaye like na ku comment picha yangu na kui share namfata inbox" wamatu yanafany hvo afu unakuta yanasem "dada ww mzuri umeumbika,nipe namba zako"
Maneno mengi sana, unaandika essaywatumiaji wengi wa fb kibongo bongo ni wageni wa mitandao, kwa hyo wakipata simu yenye access ya internet wanawaza fb tu. wakijua kupost picha ndio shida kila saa wanapost na kuandika vitu vya ajabu, mwingine anapost picha hajui ku_caption, anakuja kuandika caption ya ile picha kwenye wall... full vituko, .... kule napitaga mara mojamoja kuna pages nimezi_like huwa najiffunza baadhi ya vitu na kupata habari, si_like wala ku_comment picha yoyote ile ili nisionekane..
go take your life,idiotManeno mengi sana, unaandika essay
Sorry what is an idiot?go take your life,idiot