Uongo wa kiwango cha flyoverAisee ntajiunga fb,,,niliichukia hata kabla sijawa na smartfn,,nilikua na rafikiangu chuo alinunua smartfn akajiunga fb alikua hasomi kbsaaa akawa mtumwa nikaichukia kiasi mpaka Leo sijui hata wanatumiaje
Sio lazima uamini,,,,mi sijui kutumia fb sa nidanganye ili iwejeUongo wa kiwango cha flyover
Njoo pm nikufundisheSio lazima uamini,,,,mi sijui kutumia fb sa nidanganye ili iweje
Ntakutafta nikishaidownloadNjoo pm nikufundishe
HahahhaSio hilo tu,mimi nachekaga unakuta mtu amewek kweny page yake hvi ka upload picha ya dem mkaliii wa mtandaoni huko insta afu anaandika "atakaye like na ku comment picha yangu na kui share namfata inbox" wamatu yanafany hvo afu unakuta yanasem "dada ww mzuri umeumbika,nipe namba zako"
Huku ndio kuna mazwazwa kama huyu aliyepost ni zwazwa Fb ni sehem nzur kufurahi hivyo ukiona mtu amecomment sio kichaa ila anahitaji kufurahisha nAfsi yake tyu co kuwa haelewi ila ni maamuz yake humu ndio kuna mazwazwa wengi wamezeeka alaf hawatak vijana wafurahi na wakipendacho ,wamekosa kupiga selfie na ujana wanapiga na uzeeKweli Facebook kumejaa ma zwazwa