Watu wa Facebook ni watu wa kipekee duniani

Watu wa Facebook ni watu wa kipekee duniani

Aisee ntajiunga fb,,,niliichukia hata kabla sijawa na smartfn,,nilikua na rafikiangu chuo alinunua smartfn akajiunga fb alikua hasomi kbsaaa akawa mtumwa nikaichukia kiasi mpaka Leo sijui hata wanatumiaje
 
Uongo wa kiwango cha flyover
 
Sio hilo tu,mimi nachekaga unakuta mtu amewek kweny page yake hvi ka upload picha ya dem mkaliii wa mtandaoni huko insta afu anaandika "atakaye like na ku comment picha yangu na kui share namfata inbox" wamatu yanafany hvo afu unakuta yanasem "dada ww mzuri umeumbika,nipe namba zako"
Hahahha
 
Kweli Facebook kumejaa ma zwazwa
Huku ndio kuna mazwazwa kama huyu aliyepost ni zwazwa Fb ni sehem nzur kufurahi hivyo ukiona mtu amecomment sio kichaa ila anahitaji kufurahisha nAfsi yake tyu co kuwa haelewi ila ni maamuz yake humu ndio kuna mazwazwa wengi wamezeeka alaf hawatak vijana wafurahi na wakipendacho ,wamekosa kupiga selfie na ujana wanapiga na uzee
 
huko mimi huwa naingia kusoma pumba za SIMON KITURURU na ku`log out...
 
Back
Top Bottom