Watu wa Fiji ni ndugu zetu, mila na tamaduni zetu zinafanana

Kama ni hivyo basi serikali, kupitia Wizara ya Utamaduni, wafanye mpango wawarudishe hawa ndugu zetu nyumbani maana ni muda mrefu wameishi huko uhamishoni. Na lugha yao umeisikiliza vizuri? Isije ikawa wanaongea Kiswahili sanifu.
 
Vipi hali yao ya Elimu ? Kama wanapenda vigodoro na kuchezwa kuliko elimu hao ni ndugu zetu kabisa, ikiwezekana iwe ni mkoa remote wa Tanzania 😅😅
 
Labda ungeniambia kuwa biashara ya utumwa ilichukua watu kutoka ukanda huo wa pwani , rufiji na kuwapeleka katika visiwa hivyo ningekubalinia nawe.
 
Kwahiyo wanaweza kuwa Wabondei,Wakwele au Wamwela.. ?
 
Labda ungeniambia kuwa biashara ya utumwa ilichukua watu kutoka ukanda huo wa pwani , rufiji na kuwapeleka katika visiwa hivyo ningekubalinia nawe.
hapana watu wa Pasific walitoka huku kwa kusafiri na mitumbwi mdogo mdogo mpaka huko ushahidi wa kihistoria unaonesha watu wa pwani ya Azania walikua mbele kimaendeleo miji kama Rapta,kilwa na Ofiri walimiliki merikebu zilizosafiri mbali na dunia huko jamii za Asia walikopeleka dhahabu,pembe za ndovu na bidhaa mbali mbali ila ile civilization ilianguka karne chache za hapo nyuma kumbuka watu wa Azania yaani Rapta walifanya biashara mpaka na mfalme Suleimani dhahabu na bidhaa za madawa,miti na wanyama waliokua kwenye mabustani ya kale huko babylon na Jerusalem yalitoka huku nchi ya Ofiri imetajwa mpaka na Bible!
 
Wabongo kwa kujipendekeza tupo vizuri. Tunaojipendekeza kwao hata hawatutaki kama nchi za ukanda wa south africa.
Wala sio kujipendekeza wao wenyew wanasema asili yao ni Taqaniika wakimaanisha Tanganyika
 
Angalia tena nyingine hii hapa, kama hujawahi kuiangalia

View: https://www.youtube.com/watch?v=bLk7scBWWjo&pp=ygUhYW1hemluZyBxdWVzdCBzdG9yaWVzIGZpamkgaXNsYW5k
 
Mbona wafiji wako kama wahindi na si kama wabantu?
Wakati wa utawala wa kikoloni Fiji wahindi walienda kufanya kazi katika mashamba ya miwa. Baada ya uhuru waliloea huko huko.
 
Kama ni hivyo basi serikali, kupitia Wizara ya Utamaduni, wafanye mpango wawarudishe hawa ndugu zetu nyumbani maana ni muda mrefu wameishi huko uhamishoni. Na lugha yao umeisikiliza vizuri? Isije ikawa wanaongea Kiswahili sanifu.
Hawaongei Kiswahili ila kurudi huku si rahisi. Fiji kuna huduma nzuri za elimu, afya, maji, umeme hata barabara. Huduma za kijamii ni bora kuliko hapa kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…