Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Nimeingia kwenye kitu kinaitwa tovuti rasmi ya Rais ukifungua kule unakutana na Magufuli! Maana yake hii tovuti haijamtambua samia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😆🤣Nimeingia kwenye kitu kinaitwa tovuti rasmi ya Rais ukifungua kule unakutana na Magufuli! Maana yake hii tovuti haijamtambua samia?
View attachment 2206936
Huyu inamwonea bure kaingia majuzi na sio jukumu lakeWatu wenyewe ni hawa wakina Zuhura yunus?
Bado sukuma gang hawataki kuamini Magufuli hayupo.Nimeingia kwenye kitu kinaitwa tovuti rasmi ya Rais ukifungua kule unakutana na Magufuli! Maana yake hii tovuti haijamtambua samia?
View attachment 2206936
Acha unafiki huyu ni nani?
Tafuta website inayoitwa tovuti rasmi yaa Rais.......sijazungumzia ya Ikulu japo naamini hata hiyo ya Rais iko chini ya hao wa Ikulu