Watu wa Ikulu mnalala sana

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,033
Reaction score
10,622
Nimeingia kwenye kitu kinaitwa tovuti rasmi ya Rais ukifungua kule unakutana na Magufuli! Maana yake hii tovuti haijamtambua samia?

 
Acha kupotosha mkuu ile hali hujacheki vizuri, Website imemuweka Samia at the top kwa vile ndo Incumbent, Ila pia Ikulu huwa inaweka wasifu wa Tenants(presidents) wote ambao wamehold hio office kuu kabisa
 
Reactions: Qwy
Huu ujinga sijui unawasaidia nini wajinga.Uzushi,name calling,uongo na kila aina ya hila.
Ukweli hauhitaji kutetewa huwa unaonekana .Huwezi kuziba jua kwa ungo.Endeleeni na ujinga wenu .
 
Acha unafiki huyu ni nani?

Tafuta website inayoitwa tovuti rasmi yaa Rais.......sijazungumzia ya Ikulu japo naamini hata hiyo ya Rais iko chini ya hao wa Ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…