Watu wa iPhone hujivunia simu zao kwa kuiponda Samsung

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Watu wa iPhone hujivunia simu zao kwa kuiponda Samsung.

Ukweli ni kiwa Samsung ndio huwatengenezea Apple Screen zote za Iphone.
Na sasa kwa iPhone 16 Apple watatumia Camera kutoka samsung ili kuboresha ubora wa picha zao.

Tunakoelekea kununua iPhone itakuwa sawa na kununua Lamborghini Urus, maana ni Volkswagen Touareg yenye engine ya Audi na Suspension za Porsche halafu ikawekwa body mpta ikaandikwa URUS bei ikapanda zaidi ya mara 2.
 
We look software bro ios n8 bora na secure zaidi ya android sababu imeundwa nyepesi na kwa specific hardware tofauti na android ambayo kiuhalisia sioni ulinzi kwake hasa nilipokuja kugundua kuwa hata hawa wa mikopo hufunga simu kizembe kwa imei tena bila kuishika ila samsung ndio brand bora zaidi kwenye android ukiwa na OneUI shida ni kuwa wabongo wengi wanatumia a series mmoja wapo mimi hizi ni infinix zenye software bora tu ila wale wa S na Note wakiwa na Galaxy AI wapo poa ila apple is everything if you prefer smooth experience japo wapo nyuma kidogo kwa android ambayo i dont see changes hasa hasa kwenye security
 
Samsung UI iko vizuri, nafikiri hakuna wa kumfananisha naye.
 
Watu wa iPhone hujivunia simu zao kwa kuiponda Samsung.

Ukweli ni kiwa Samsung ndio huwatengenezea Apple Screen zote za Iphone.
Na sasa kwa iPhone 16 Apple watatumia Camera kutoka samsung ili kuboresha ubora wa picha zao.

Tunakoelekea kununua iPhone itakuwa sawa na kununua Lamborghini Urus, maana ni Volkswagen Touareg yenye engine ya Audi na Suspension za Porsche halafu ikawekwa body mpta ikaandikwa URUS bei ikapanda zaidi ya mara 2.
Mkuu pole sana
 
Unawazungumziaje HUAWEI mfano huu mpini wao Huawei Puru
IMG-20240718-WA0006.jpg
 
Back
Top Bottom