ngopyolo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 1,940
- 1,517
Eeeeh bhana eeeh unaniandikia kiingereza ulinisomesha !?? [emoji16][emoji16]And besides we are probably far better off than your society! Lie???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeeh bhana eeeh unaniandikia kiingereza ulinisomesha !?? [emoji16][emoji16]And besides we are probably far better off than your society! Lie???
Pawaga...Kwani wee ni mtu wa wapi ndugu.
Labda barid la kwao lina vitaminMmh mbona wazungu wanarefuka
Mademu wa Iringa ni wagumu sana kutoa mbunye kwa strangers,nishaenda pale mara mbili kikazi na mara zote naondoka na utamu wangu.Hata mi nashangaaga sana, yaani wafupi karibia wote halafu wanafanana fanana tu. Sema nilikuja kugundua sababu kubwa ni kuzaliana wenyewe kwa wenyewe kama alivyosema mleta mada
Hayo mambo ya zamani, waluguru wamechanganyika sana siku hizi na wengi ni warefu au size ya kati. Waluguru wengi wamechanganya mbegu karibu na kila kabila la Pwani.Hahaha Ww unaolewa na kabila gani?
Yeah Kuna tofauti kubwa Kati ya watu wa Iringa na watu wa mbeya ingawa ni majirani.
Ila Nafikiri jirani zao waluguru Ndio wamezidi kwa ufupi
kaka Mi nipo kimaisha na kikazi kwa muda mrefu huku kanda ya ziwa kwa watani zetu wasukuma, nimejifunza kuwa wa Tanzania karibia Wote tunafanana tu, si kwa urefu wala kwa rangi..sote tunafanana tu, huku kuna wafupi na warefu halikadhalika uluguruni ( ukutu, uzaramoni, ukwereni, uziguani) pia kuna warefu na wafupi pia, karibu BUHONGWA ndani ya jiji la mwanza tule sato nduguHayo mambo ya zamani, waluguru wamechanganyika sana siku hizi na wengi ni warefu au size ya kati. Waluguru wengi wamechanganya mbegu karibu na kila kabila la Pwani.
Walimu wengi sana wasukuma na makabila mengine wakipangiwa mlimani kwetu, huwa hawanasuki. Dada zetu wanajua kutega na wanajimix sana. Pia hawa wazaramo, wakwere, wakutu, wakaguru, wazigua, mpaka waarabu wamemix sana na waluguru. Wapo mpaka Zanzibar.
Wahehe diet yao haina protein, wanga mwingi. Na pia ni very closed tribe, haana ngoma wala jando ... you can imagine the rest.