Watu wa IT njooni hapa mtupe elimu kuhusu Starlink

Watu wa IT njooni hapa mtupe elimu kuhusu Starlink

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19,185
Reaction score
37,239
Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki.......

Wana ukumbi kila mtu anajua kero, visa,ubabe na wizi wa hii mitandao yetu tunayotumia kupata mawasiliano.....hivyo basi ni wajibu wetu kupeana mbinu na njia za kupunguziana makali......

Hili suala la kampuni ya starlink kutoka Marekani kwa bilionea Elon Musk.....

Tunajua kuwa serikali yetu haitutakii mema na wameungana na wa mitandao ya simu kutukamua.......

Inawezekana kweli kutumia kama binafsi( japo kwa ujanja ujanja)....na TCRA Wana uwezo wa kutrack hicho kifaa au mpaka watu wakuchome....na je ikitokea umekamatwa vurugu lake lipoje na watawala.......???
 
Back
Top Bottom