Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Jadi ni mila za kale na potofu? vs Dini shughuli za kibiashara ambazo zimeletwa kutudumaza akili? vipi kuhusu pagans/athens?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao ndiyo hawaamini mungu a.k.a athensMbona haujataja na wenye kuamini sayansi?
so,dini muhimu sana?New Atheism ni dini kama dini nyengine. Ukichunguza hao wanaojiita Atheist wapo busy humu kusema dini ni utapeli, asubuhi mchana na jioni waulize mchango wao kwenye Taifa ni upi, hawana, wana tofauti gani na matapeli wa kidini?
Tajiri mkubwa Nchi Hii MO na Metl yake ni Shia, Ameajiri zaidi ya Watu 20,000 Dhehebu lake la Nashria kila siku wanatoa misaada mara operation za macho bure, mara matibabu ya moyo bure etc. Wanaleta madaktrari kibao bingwa toka nje bure kutoa misaada.
Bakhresa tunamjua na Dini yake kafufua mpira wa Tanzania, kafufua Tasnia ya Filamu, katoa ajira kibao, bidhaa zake zinaneemesha Watanzania.
Marehemu mengi nae tunamjua hakua mtu mbahili japo anatoka mkoa ule, alitoa misaada na kusaidia Watanzania wengi tu kwa huo huo mgongo wa Dini.
Dini imesaidia Nchi nyingi sana Duniani na kuleta welfare kubwa. Nchi nyingi ambazo Serikali zake zinathamini dini maskini nao wanapata ahueni na kuishi maisha mazuri
USA Ambao ni machampion wa New Atheism na Ukapitalist wao unakuta nchi tajiri kabisa ila raia hata uwezo wa ku afford nyumba hawana, Matajiri wachache wa namiliki utajiri kuliko nusu ya nchi. Leo Hii watu kama kina Musk wapo against kabisa kusaidia Masikini sababu mtu hana malezi na adabu zinazotokana na kusoma dini.
Angalia nchi kama Ulaya ama nchi za Ghuba na Nchi nyengine zenye adabu za Dini wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokomeza umasikini, wenye nacho kuweka mifumo ya kusaidia ambao hawana.
Vizuri nao wawepo kutoa mitazamo tujue na upande wao.hao ndiyo hawaamini mungu a.k.a athens
Atheism haihusiani na mchango kwa taifa, inahusiana na kukataa uwepo wa mungu, basi.New Atheism ni dini kama dini nyengine. Ukichunguza hao wanaojiita Atheist wapo busy humu kusema dini ni utapeli, asubuhi mchana na jioni waulize mchango wao kwenye Taifa ni upi, hawana, wana tofauti gani na matapeli wa kidini?
Tajiri mkubwa Nchi Hii MO na Metl yake ni Shia, Ameajiri zaidi ya Watu 20,000 Dhehebu lake la Nashria kila siku wanatoa misaada mara operation za macho bure, mara matibabu ya moyo bure etc. Wanaleta madaktrari kibao bingwa toka nje bure kutoa misaada.
Bakhresa tunamjua na Dini yake kafufua mpira wa Tanzania, kafufua Tasnia ya Filamu, katoa ajira kibao, bidhaa zake zinaneemesha Watanzania.
Marehemu mengi nae tunamjua hakua mtu mbahili japo anatoka mkoa ule, alitoa misaada na kusaidia Watanzania wengi tu kwa huo huo mgongo wa Dini.
Dini imesaidia Nchi nyingi sana Duniani na kuleta welfare kubwa. Nchi nyingi ambazo Serikali zake zinathamini dini maskini nao wanapata ahueni na kuishi maisha mazuri
USA Ambao ni machampion wa New Atheism na Ukapitalist wao unakuta nchi tajiri kabisa ila raia hata uwezo wa ku afford nyumba hawana, Matajiri wachache wa namiliki utajiri kuliko nusu ya nchi. Leo Hii watu kama kina Musk wapo against kabisa kusaidia Masikini sababu mtu hana malezi na adabu zinazotokana na kusoma dini.
Angalia nchi kama Ulaya ama nchi za Ghuba na Nchi nyengine zenye adabu za Dini wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokomeza umasikini, wenye nacho kuweka mifumo ya kusaidia ambao hawana.
Unazaliwa, Unaishi, Unakufa.Vizuri nao wawepo kutoa mitazamo tujue na upande wao.
Ina umuhimu wake mkubwa tu, sababu unaona kuna mtu ni tapeli ana preach dini kuomba sadaka ili ajinufaishe haimaanishi watu wote wanaofuata dini wapo hivyo.so,dini muhimu sana?
Keyword hapo "new Atheism" na sio Atheism hivyo ni vitu viwili tofauti. New Atheism ni harakati kama harakati nyengine na lengo lake ni kufuta Dini. Kwa kiswahili rahisi kunaAtheism haihusiani na mchango kwa taifa, inahusiana na kukataa uwepo wa mungu, basi.
Ukishaingia kwenye mchango wa taifa, unaingia kwenye siasa.
Maadili hayatengenezwi na dini, yanatengenezwa na jamii(watu kuchangamana).
Kila mahali duniani kuna mema na mabaya, ingekuwa dini ni msingi wa maadili, mabaya yasingekuwepo.
ahsanteNichangie hii thread kidogo. Ila kabla ya yote ni tangaze kuaa mimi ni muumini dini ya kiikristo dhehebu fulani na mchaji wa imani ya jadi. Naamini katika matambiko, mungu mmoja na sadaka za damu ya wanyama na sio sadaka ya fedha, dhahabu na shaba.
Now tuendelee
Wakati fulani niliwahi kufikiri juu ya je kuna uwezekano wa kuwepo kwa uongozi pasipo siasa watu niliouliza waliniambia hapana ila nkisoma biblia (nimesema mimi ni muumini wa ukristo ila sio mchaji wa dini ya kikristo) naona kwenye agano la kale kuanzia vitatu vi3 vyote nilivyovisoma full (mwanzo, kutoja na hesabu) naona mungu alikuwa anachagua kiongozi pasipo kuwa na uchaguzi wala siasa na aliowachagua wakawa viongozi bora. Rejea: musa, farao (huyu aliwekwa na mungu kwajili ya kumsimamisha musa na akapewa moyo mgumu (mungu mwenyewe anasema nitampa moyo mgumu aaiwaachilie waizrael ili ampige kuonesha ukuu wake))) hilo ni 1
Pili naona sadaka katika kitabu hiko hiko zote mungu aliagiza mwanakondoo tena achinjwe damu imwagwe pembezoni mwa mazabahu na nyama yake iunguzwe kwa moto hadi iwe majibu na hapo mungu anasema harufu hyo inakuwa manukato mazuri kwake. Je kama mungu hyo hyo wa enzi za ibrahim, yacobo, isaka, musa na haruni hyo hyo leo amebadirika anataka sadaka ya fedha za noti na shaba??...
Lkn ukiangalia jadi za wazee waliamini katika matambiko ya kuchinja kuku na londoo na kuwachoma ikiambatana na ngoma na nyimbo (je utaratibu huu na ule wa enzi za waisrael kizazi alichotembea nacho mungu mwenyewe alichokifundisha namna ya kutoa sadaka unakosa gani).
Twende sawa.
Je dini ndio inayosimamia taratibu za nzuri na mbaya katika jamii (yaani inayosimama kama jaji wa kusema kuua ni vibaya na kumpenda mtu ni vizuri?)
Turudi hapa, mtoto anapozaliwa huwa hana dini na hivyo hana katiba inayomwongoza katika uzuri na ubaya ila anajua ya kuwa kumchoma mtu na kisu ni vibaya na kusema uwongo ni vibaya pia kumn'gata mtu ni vibaya je huyu amejulia wapi hii character?
Ukiwa na mbwa au mnyama yyte ww ndiye unayemhudumia (ni rafikiake) hawezi kukudhuru ika adui anamdhuru je huyu mnyama anadiji inayomfundisha uzuri na ubaya kwa mtu au kiumbe mwingine?
Kwahyo tunaweza kusema ya kuwa uzuri na ubaya (deeds and indeeds) ni inborn kiumbe kinazaliwa nayo, baya na zuri hafundishwi kiumbe na dini kwahyo hata adam na hawa, musa na yacobo, sijui kaini na abel hao wote hawakufundishwa na dini ubaya na wema ni walizaliwa nao isipokuwa ili kupromote wema uendelee ndio sheria, malezi vilipoingia. Kwa mantiki hyo dini haipo
Tuendelee
Je nikisema dini ilikuja kuchukua nafasi ya imani ya kweli ya kumwabudu mungu na kufanya ibadala ya upatanisho na ikawa, kufanya ibada ya mvua na ikanyesha na kufanya ibada ya kuondoa gonjwa au janga na ikawa.
Je nikisema dini imekuja kuingilia imani ntakuwa nmekosea na hapo je bado mtu atasema ya kuwa kuna uzi mwembamba sana kutofautisha dini na imani
Namini nimejibu v2 vingi ikiwa na pamoja na like swali la ipi dini ya kweli, dini zote ni upigani ila imani ya kweli ni jadi . hatuna haja ya dini tunahitaji imani na mila na tamaduni tu simple sio katiba na dini
ahsante