Watu wa jf (hasa mmu) wengi "wezi"


Babu naona umeukata kabisa duhhhh
Nakusalimu sana.. na ugoro ntakuongezea dozi..
 
Hamjambo watu wa MMU?

Nawapendeni sana.

Nimekuja hapa kuwasalimu, siyo kujibu upupu wa huyu mtu.


Mungu awabariki sana. Muendelee kudumu tuendelee kujirusha hapa MMU pa ukweli.

Ahsanteni kwa kunisoma.

babu hujambo wewe
asante kwa salam
leo AD amekuletea ugoro kama bado
nimtume dogo Lizzy fasta
 

Kiritimba unaitwa na babu
 
nimekuachia uratibishe shughuli nzima
daaah bora ulete zote chupa blue x mas
chupa nyeupe new year
hahahahahah kuserebuka hadi mwisho


usijali kabisa my dear ..
na kuna fulani ya kijani loohh
hiyo utaipenda , kijiko kimoja tu inatosha..
 
hahahahah BW
Lizzy ndo kazaliwa leo..
Staki aniibie kibarua changu cho ugoro
na muda pekee wakukutana na babu lol

usijali kibarua kwa babu akiishi
anavuta uguro kila baada ya 1dk
awe makini kukagua
 
Mi sjambo mpenzi..
hahahahah bado unakumbuka kale kachupa
usijali kabisa ntaleta na nyongeza.. saa ngapi uko free
tukutane pale pa siku ile au?? nasubiri jibu lako mpendwa.

afrro I micccd u.. uuuwwiiiii... mwaaahhhhh!!
 
lol..:lol::lol::lol:.....hizi statistics ulizozitoa ni kwa hisani ya nani?
 
usijali kibarua kwa babu akiishi
anavuta uguro kila baada ya 1dk
awe makini kukagua

Mwehhhh huyu babu ndo alivyo my dear
Anakwambia kibarua kimeisha sababu ana
wajuukuu wapya wa kuwa kagua .. Nafasi
yangu siachii hata iweje hahahahahah lol



daaaah inanukia hiyo
itabidi iwe mfalme jioni ya leo

Hiyo ni ni 89% "Sugar free" hahahah lol
Kijiko cha kwanza, cha pili unaanza kuimba
nyimbo za mwaka mpya Xmass hahahah
sasa umenitamanisha .. Nasubiria kwa hamu kuja 🙂

My dear mi nakuaga kwa sasa..
Ni BP ukimaliza basi nkutafute ..
hahahaha Take care for now..
 
Nipo lunch sasa kwa muda wa lisaa limoja. naweza jibu comment zenu, then naingia kujenga inji.
 
The Finest mbona sijakuona hapa , unashitaki na Kiritimba kwa kumtemea mate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…