afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
FYI hakuna raha kama kuongea nikiwa maliwatoni.
Swali la kizushi: Anayeandika posts nyingi na anayesoma posts hizo nyingi tena za watu weeeengi na kuzihesabu kabisa, ni nani kibaka wa muda kwa mwajiri wake?
Asprin anaandika posts 200
kiritimba anasoma posts 200 za Asprin, na kuzihesabu
na za Afrodenzi 300
na za Dena Amsi 200
Na za Rejao 150
Na za king'asti 800.......... yaani unasoma na kuzihesabu tu!
Afu ukitosheka unakuja kufungua thread unachangia posts 100..... kweli we si mwizi wa muda!
Ahsante kwa kunisoma.
Bado niko maliwatoni, niletee toilet paper tafazali.
Babu naona umeukata kabisa duhhhh
Nakusalimu sana.. na ugoro ntakuongezea dozi..