Watu wa JF...

Umuzukuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2019
Posts
617
Reaction score
552
Habari wakuu nawasalimia kwa jina la jamhuriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa bhana iko hivi katika dunia ya sasa kuna sehemu naona kuna tofauti fulani ambayo na ngumu kuikuta mahali pengine tofauti na humu jamvini, unanipata?

Unashangaa kwani unanijua wewe
Unashangaa tena!
Huwezi kulipa.

Yofauti yenyewe ni kwamba
Humu jf ;
+Kila mtu ana pesa
+Kila mtu ana gari
+Kila mtu ana nyumba tena kali ya milioni kadhaa za shilingi au dollars au pounds
+Kila mtu kaoa na kuolewa kulingana na jinsia yake
+Kila mtu ana simu mpya kama vile Samsung, iPhone,oppo nk
+Hukuna anayeangalia porn

Hebu subiri nimeangusha mia hamsini hapa kwenye mchanga, subiri niitafute
Narudi

Ongezea mengine hapo chini narudi
 
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPA

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Jf kila mtu ni mzalendo
 
Kasoro mm aisee.
Sina elimu.
Sina kazi
Nimeoa
Sijajenga kwa sabab sikuja kulinda dunia.
Natumia tecnoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ila huwa najifanya mjuaji balaaa japo sijisifiagi kuwa ninachoπŸ˜€πŸ˜€

Jamhuri ya JFπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Acha uwongo members wangapi wanakuja humu kuomba misaada na michango ya fedha.Alafu wenye magari na nyumba kali wapo pia mfano Nape Mnauye na Zitto kabwe na wabangaizaji pia tumo.
Wewe uko upande upi sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…