Umuzukuru
JF-Expert Member
- May 30, 2019
- 617
- 552
Habari wakuu nawasalimia kwa jina la jamhuri๐๐๐๐
Sasa bhana iko hivi katika dunia ya sasa kuna sehemu naona kuna tofauti fulani ambayo na ngumu kuikuta mahali pengine tofauti na humu jamvini, unanipata?
Unashangaa kwani unanijua wewe
Unashangaa tena!
Huwezi kulipa.
Yofauti yenyewe ni kwamba
Humu jf ;
+Kila mtu ana pesa
+Kila mtu ana gari
+Kila mtu ana nyumba tena kali ya milioni kadhaa za shilingi au dollars au pounds
+Kila mtu kaoa na kuolewa kulingana na jinsia yake
+Kila mtu ana simu mpya kama vile Samsung, iPhone,oppo nk
+Hukuna anayeangalia porn
Hebu subiri nimeangusha mia hamsini hapa kwenye mchanga, subiri niitafute
Narudi
Ongezea mengine hapo chini narudi