Hellow
Humu bhna kuna matajiri wengi sana nazidi kupata marafiki wapya sana matajiri hawana mdomo
Humu nimekutana na watu wazuri kwa upande wangu mimi nimefaidika sana na watu wa humu japo wengi wananitambua kama chawa mpenda ofa yote sawa hila maisha yanasonga
Imagen jana pale wavuvi wakat thread inaendelea nikaulizwa umekaa meza gani na utumia kinywaji gani ni kalipiwa na bill kwa ucheshi wangu tu wa hapa jf asante bwana tajiri heshima kwako mkuu leo nahamia kiwanja kingine
Ucheshi unalipa muwe mnaheshimu watu humu izi id zinaficha mengi sana heshima kwako tajiri TAJIRI AMEPOA ANA MANENO ANA VITENDO TU HESHIMA KWAKO TAJIRI YANGU