Watu wa kabila la Wadong washerehekea Sikukuu ya Xinmi nchini China

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Julai 31 watu wa kabila la Wadong katika wilaya inayojiendesha ya makabila ya Wamiao na Wadong mkoani Guizhou China, waliandaa shughuli mbalimbali ili kusherehekea Sikukuu ya Xinmi.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…