Watu wa kabila la Wamiao nchini China washerehekea mavuno

Watu wa kabila la Wamiao nchini China washerehekea mavuno

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Kwenye eneo la Kusini Mashariki mwa mkoa wa Guizhou, China watu wa kabila la Wamiao walivaa mavazi ya kijadi na kusherehekea mavuno.
VCG111405666095.jpg

VCG111405666110.jpg

VCG111405666125.jpg
 
Asante kwa KUTUONYESHA KUWA pamoja na maendeleo ya kiteknolojia wenzetu Bado wanathamini mavazi yao ya kiasili.
Too bad nchini kwetu kilo moja ya mchele 3000 inaonyesha dalili za njaa tupu hakuna chakula Cha kutosha
Anyways hongera zao
 
Naona mavuno tupu hapo, kwa mujibu wa hizo picha hayo ni mavuno
 
Back
Top Bottom