Watu wa kale walizikwa na vito vya thamani walivyomiliki

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Hii picha ilipigwa mwaka 1970 nchini Buligaria katika mji wa Varna. Ma archeologists walichimba kaburi hili linalosadikiwa kuwa ni la miaka 500BC. Ubora wa dhahabu waliyoikuta wanasema haujawahi kuonekana tena duniani.

Wana harakati wana hoji hao archeologists walipata wapi kibali cha kuchimba makaburi haya. Hii ilikua ni heshima kwa watu hao na waachwe wapumzike baada ya kuumaliza mwendo wao duniani.
 
Mhhh, sio fix kweli hii, miaka 500 BC mpaka leo kaburi liwepo
Watu wa kale walikua na utaalamu wao katika ujenzi. Haijulikani aina ya matofali waliuotumia, inasadikika walitumia mawe lakini utaalamu wa kuyachonga na kuyabeba mpaka leo haujafahamika.
 
Watu wa kale walikua na utaalamu wao katika ujenzi. Haijulikani aina ya matofali waliuotumia, inasadikika walitumia mawe lakini utaalamu wa kuyachonga na kuyabeba mpaka leo haujafahamika.

Inasemekana na Pia utafiti unaonyesha kuwa walikuwa wanasaga Seashells na kuchanganya na udongo na mifupa pia
 
Inasemekana na Pia utafiti unaonyesha kuwa walikuwa wanasaga Seashells na kuchanganya na udongo na mifupa pia
Ohhh, kuna Roman buildings ziliharibika wakati wa WWII, hii ndiyo vita iliyotumia mabomu zaidi kwani ndiyo ilikua technology mpya.

Majengo haya walishindwa kuyakatabati kwani utaalamu wa ujenzi wake ulikua mgumu sana.
 
Ohhh, kuna Roman buildings ziliharibika wakati wa WWII, hii ndiyo vita iliyotumia mabomu zaidi kwani ndiyo ilikua technology mpya.

Majengo haya walishindwa kuyakatabati kwani utaalamu wa ujenzi wake ulikua mgumu sana.

Exactly naona hiyo ndio sababu kubwa
Watu wa zamani walikuwa hawana mambo mengi kichwani Ndio maana akili zilikuwa zimetulia sana na walikuwa wanatengeneza kitu to last sio kama technologies za leo wanatafuta hela tu
 
Kuna yule member aliyesema alitajirika kwa kuuza majeneza ya wizi huenda pia alishiriki kuchimba hilo kaburi
 
Kuna dalili unataka ukapige dili

Kuna dalili unataka ukapige dili

Why not Mkuu Mbona Egypt wanatumia mpaka nguvu za giza?
Wanafukua hadi maili kadhaa ili wapate Vito vya thamani

Kuna dili kwenye kisiwa cha majoka huko Brazil kinaitwa Snake [emoji216] island Yaani walificha dhahabu nyingi sana na kwa roho zao mbaya wakaweka na majoka yakazaana
Sasa plan yangu niende huko na mitambo ingawa hata ukilala unaangukiwa na nyoka ukitembea kila hatua kuna nyoka ila najipanga
 
Baada ya fight yote hiyo unarudi na dhahabu na una RIP, ndugu wanagawana.
 
Umenikumbusha Kuna siku HISTORY channel walirusha kipindi kwamba Kuna pirate Miaka ya 1880's alificha Mali kwenye kisiwa Fulani alizifukia Sasa mkienda kuchimba kesho yake mnakuta maji yamejaa
Wanasema pirate alitumia nguvu za Giza,pia Kuna train iliyojaa dhahabu ilipotea huko ulaya wakati wa WW2
 
Hizi ni hadithi za ukweli, vitu vingi vimetokea duniani na mambo yanazidi kubainishwa
 

Yaani ipo siku watatengeneza miwani ukivaa tu unaona ardhini kuna nini [emoji23]

Haya mambo ya uchawi walikuwa wanayajua sana watu wa zamani

Mkuu hata Africa wazungu wameficha sana na kuna sehemu zina alama kama plus au x ila sasa hujui kama mali ziko maili ngapi kutoka kwenye alama au ni mashariki au kusini

Maana hawawezi kuweka madini chini na wakaweka alama lazima zitakuwa umbali kadhaa

Kuna wengine walificha wakiwa peke yao na wamekufa hawakuwaambia watu
 

This is a gold chain with a pendant depicting a little Tutankhamun
It was found in his tomb, and it is a model of the little king in a fetal position, holding a small sceptre, and the crown is made in very precise ❤️
 
Nsyapenda mambo haya mm
Sema sijapata nafasi...
Unaweza gundua hata shotcut ya mbinguni ukichimba chimba

Dunia ina mengi sana ila yamefichwa na huko yaliko yanasubiri tu kufichuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…