Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Hii picha ilipigwa mwaka 1970 nchini Buligaria katika mji wa Varna. Ma archeologists walichimba kaburi hili linalosadikiwa kuwa ni la miaka 500BC. Ubora wa dhahabu waliyoikuta wanasema haujawahi kuonekana tena duniani.
Wana harakati wana hoji hao archeologists walipata wapi kibali cha kuchimba makaburi haya. Hii ilikua ni heshima kwa watu hao na waachwe wapumzike baada ya kuumaliza mwendo wao duniani.