Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Habarini. Dagaa ni chakula kimoja kinadharaurika sana na kuonekana cha kimasikini, lakini ni moja ya vyakula bora kabisa duniani.
Ni hivi, mifupa ya mtu hujengwa kwa sehemu kubwa kwa Calcium. Sasa, ukiondoa maziwa, chakula kinachofuatia kwa kuwa na calcium kwa wingi ni samaki wanaoliwa na mifupa yake kama dagaa. Anaekula dagaa anapata calcium kwa wingi kuliko anayekula sato au samaki wengine wa gharama waliojaa minofu. So watu wa kanda ya ziwa, hata wale ambao hawawezi kupata calcium kutoka kwenye maziwa, wanaipata kwa wingi kutoka kwenye dagaa kwa bei rahisi.
Watu wa Pwani kama wazaramo ni wafupi japo wanatumia samaki kwa kiwango kizuri tu, ni pengine hawali sanaa dagaa kamba ambao wangeweza kupiga na mifupa yake na kujipatia calcium kwa wingi.
Basi wandugu, dagaa ni chakula bora na muhimu sana. Hasa kwa watoto wanaokua.