Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Watu wa kanda ya ziwa ni watu waungwana sana..wamejaaliwa tabia nyingi nzurinzuri kama ukarimu na kutokuwa na choyo...tatizo lililoikumba jamii hii ya watu wa kanda ya ziwa ni kutaka kugeuzwa kuwa watu wa ajabu..kiongozi mmoja wa serikali ambae kwa sasa hatunae alitaka kuwabadirisha hawa watu wawe wa hovyoo mbaya zaidi aliwapandikiza chuki za ukabila, mungu alie juuu alijaalia kuiongoza huo kuondolewa kama upepo ...kuendelea kuwepo kwake kungesababisha wasukuma wetu pamoja na watu wa kanda ya ziwa kwa ujumla kuwa watu wa hovyo..mungu ibariki kanda ya ziwa ..mungu ibariki Tanzania...mwizukulu mgikuru (24/08/2022).