Watu wa kanda ya ziwa ni waungwana sana

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Watu wa kanda ya ziwa ni watu waungwana sana..wamejaaliwa tabia nyingi nzurinzuri kama ukarimu na kutokuwa na choyo...tatizo lililoikumba jamii hii ya watu wa kanda ya ziwa ni kutaka kugeuzwa kuwa watu wa ajabu..kiongozi mmoja wa serikali ambae kwa sasa hatunae alitaka kuwabadirisha hawa watu wawe wa hovyoo mbaya zaidi aliwapandikiza chuki za ukabila, mungu alie juuu alijaalia kuiongoza huo kuondolewa kama upepo ...kuendelea kuwepo kwake kungesababisha wasukuma wetu pamoja na watu wa kanda ya ziwa kwa ujumla kuwa watu wa hovyo..mungu ibariki kanda ya ziwa ..mungu ibariki Tanzania...mwizukulu mgikuru (24/08/2022).
 
Waungwana gani haoo??
Wanakunya porini au ziwani.
Wengi wana mikono sweta.
Kuoga ni mitihani
Ww unazungumzia uungwana upi?
 
Waungwana gani haoo??
Wanakunya porini au ziwani.
Wengi wana mikono sweta.
Kuoga ni mitihani
Ww unazungumzia uungwana upi?
Alisikika malaika kutoka mbinguni asiye na mapungufu akiongea...
Kwenu wote mna vyoo vizuri?
Kwenu mnaoga wote?
Kwenu wote kalamu hazina mifuniko?
Yaani wewe wanaume wote kanda ya ziwa tulikubaka ukapata haya yote?
Ebu tuambie unatokea wapi ambako wanaizidi kanda ya ziwa
Ule ntumbafu gete ubhebhe
 
Ni vile tu sisiemu inawachezea, Wapemba watu1 powa sana!
 

Natokea Dar, umewahi ona Wazaramo tunakunya bahatini au tunachambia mabunzi au tuna mkono sweta?
Karekebishe hayo Ngosha tukuelewe
 
Wengi wana mikono sweta.
Kuoga ni mitihani
Maweee!! wewe ndo bure kabisa wasingekuwa hawa mashujaa wa kanda hii!! Idd Amini angewafanyia kitu mbaya sana msingeamini!!...yaaani...mngeolewa wooote Tanzania hii!!

Mikono ya sweta itokee wapi ?? kure wanakata mpaka mikono ya sweta ya kina vidude vya wanawake unasema nini weye??....hata sirikali yenu hii butu iliyoongozwa na vatican iliwashindwa kukata ivo vitu!!

km wangekuwa watu wazembe iwe kanada maarum? ......au weye Mrundi nini hujui kitu?...hawa hawa walipigana nchi za Mstari wa mbere kooote huko wapo na mbegu wameacha huko!

\Nenda S/Africa ujionee Mitaa kabisaa imeandikwa Tata, kamugambire

Mbuya mura!... Wabonaki waitu,.....Ngosha street! ni utashangaa!

Mtanzania harisi, kamwe hawezi kutania wanaume ivo!! tena kure ukiwa rizemberizembe!! unachapwa uchangamke! sasa kure kuoga si unaenda ziwani ra bure tu unazama unatoka, kirumi maji ni bure! huijui mara wee!

ujue yego scooote inaongoza kwa mauzo duniani ni kutoka kanda ya ziwa ni ngumu ajabu!...hapo ni kwa uchache sana bdo sijakupa
 
Halafu wanakunya ziwani, bishaa!!
 
Halafu wanakunya ziwani, bishaa!!
DSM yote! Mpaka Ulaya (EU) mna pata Sato/Sangara/dagaa safi! wanono! walio kula mavi ya Kanda ya ziwa!! yote hayo ni Mavi na Minyoo ya wakurya/wasukuma wahaya!......waheshimuni hawa ! km Ulaya wanavo waheshimu.

Samaki wa Nyasa, Ziwa Rukwa Tanganyika nk, hawajawahi kusafirishwa Ulaya km sangara! unabisha?? yale mavi ni mali adimu/ tamu! wanakula wajanja! hata ufanyeje Sato lazima waende DSM/Europe kwa gaharama yeyote!

kifupi watu wa kanda ya ziwa ni watamu, kwa kila kitu! zubaa uchekwe, fikiria wakoloni na jeuri yao yote, wanakula Mavi ya Wakurya Wasukuma na Wahaya kwa gahrama nzito,

yoote ni ili wapte akili mingi km Nyerere, weye nani usile???? endelea kuzubaa!! wenzako wameanza kugema vyoo vya kanda ya ziwa ili wawe na akili weye unaponda ............haya bana yangu ni hayo!!..

mie nakusaidia! si ujaribu kuyala uone??!
 
Maswali ya msingi sana hayo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…