MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kwenye hilo bwawa kuna mradi wa serikali?Ni kama serikali ilivyojenga mradi wa mwendo kasi jangwani. Hapo pia kuna mradi wa serikali wa kisima cha maji.
Ni wapumbavu mno.Baadhi ya watu hujenga katika mabonde wakiamini ni gharama kubwa kujenga milimani
Lakini mzee wa Kino ina maana serikali imeshindwa kabisa kusimamia sheria watu kutojenga bila vibali?Achana naooo hao hawakomi wala kusikia
Ova
Wakiongozwa na serikali YakoNi wapumbavu mno.
Yes! Mradi wa maji.Kwenye hilo bwawa kuna mradi wa serikali?
Shuguli inaanzia hapo sasaLakini mzee wa Kino ina maana serikali imeshindwa kabisa kusimamia sheria watu kutojenga bila vibali?
Aisee mbona unatutusi,khae ga a milaa akkooBalise diridiri milah baragee nasi loalee ...ni ukorofi tu na tamaa
Dah!Yes! Mradi wa maji.