WATU WA KARIBU HAWAKUSAIDII

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,391
Reaction score
1,347
Nimejaribu ku act tatizo flani ili nione itakuwaje, aisee ni hatari tupu sio tu nme act but ni kweli limenitokea ila sio kwa hatua nilio ia act, mpaka mpenzi wangu hapokei simu.

Ila wadada kama kama wanne ndo wali kua tiari kuja kuniona, nmeamini mtu ambae ni wa karibu, na unadhani atakusaidia hio sahau, pia kua na wana ni vizuri kuliko hizi jinisia za ke, hazifai.
 
Rafiki wa kweli ni mkeo tu.
 
Mwanamke si ndugu yako. Ishini nao kwa umakini
 
tushirikishe mzee,ulijaribu kuact tukio la namna gan?,na ss tupate maujanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…