Watu wa karibu na bahari wanajifanya wanajua kupara samaki basi kuna samaki wanapatikana amazoni sio baharini unatumia nyundo na cheche zinatoka

Watu wa karibu na bahari wanajifanya wanajua kupara samaki basi kuna samaki wanapatikana amazoni sio baharini unatumia nyundo na cheche zinatoka

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna samaki anapatikana amazoni kwa jina Arapaima (pia anajulikana kama Pirarucu au Paiche). Huyu ni mmoja wa samaki wakubwa kabisa wa maji baridi duniani na hupatikana kwenye Mto Amazon.

IMG_1463.jpeg

Magamba yake ni magumu sana na yanakinga hata meno ya wanyama wakali kama mamba na piranha.

Ili kuondoa magamba ya Arapaima, watu wengi wanasema kwamba lazima utumie nyundo, na wakati mwingine huweza kutoa cheche kutokana magamba yake.

Amazon ndio msitu wenye viumbe vya ajabu.

Kuna raisi wa brazili alisema mungu aliumba brazili wengine wakafata.
 
Back
Top Bottom