Watu wa Kaskazini inabidi muungane kuwaokoa wenzenu Wamasai

Serikali yaawamu ya 6 IPO IMARA na kamwe haito yumba wala kuyumbishwa na maigizo ya wahuni wachache amabo wanakesha kuloga ili anguko la awamu hii litokee.
thubutu!! wataanguka wachawi wote lkn sio awamu hii ya 6.
 
Ukweli ni kwamba kwenye hii nchi Kanda ya kaskazini inaongoza Kwa kuwa na rasilimali zenye kuingiza pesa za kigeni ... Sehemu popote ambapo mzungu anapapendelea automatically hapo kuna kisima cha hela ....

Wanalofanyiwa wamasai Kwa sasa ni uonevu wa Hali ya juu , Leo wanafukuzwa na inasemekana kuna mwekezaji ambaye uwekezaji wake haupo wazi , sababu zinaweza kuwa zimejibanza kwenye maslahi ya Taifa lakini Taifa letu Lina mfumo mbovu wa ulinzi wa rasilimali za Taifa...!!

Tumeshuhudia watanzania wengi wakifukuzwa toka maeneo ya migodini , watu wakaondolewa wakat mwingine Kwa mauaji kisa anapewa mwekezaji ,tukaja kugundua kumbe mwekezaji anachukua almost kila kitu , serikali inakosa inachokitaka na wakazi wamefukuzwa yaani inakuwa total loss , kisa tu kuna genge lilinufaika Kwa vi-billion kadhaa Kwa Gharama ya kuumiza raia wengi ....

Kuhusu Ngoro ngoro , Kama sa hv mmeamua kulinda mipaka , mipaka inatakiwa ilindwe kuanzia pale walipoishia sa hv ili wasiendelee mbele na sio kuwaondoa Kwa nguvu....!!!

Hawa watu wasio na utu wakiachwa hv wakimaliza Ngoro ngoro , watahamia mlima kilimanjaro , wakimaliza mlima kilimanjaro watahamia Mgodini Mererani
WATANZANIA NI WAOGA[emoji35]
 
Ninyi mnaishabikia kila kitu cha hovyo cha ccm leo umekula muwa wa wapi?
 
kaskazini hatujawahi kuwa wajinga wa kuambiwa tufanye nini? tunajua haki na wajibu wetu kwa jamii zetu na pia serikali. Ngorongoro sio kwa manufaa ya kabila moja ila Taifa na urithi wa dunia. Kabila moja lisilostaarabika haliwezi fanya wana kaskazini tukawa wajinga. Tunajua mpango halali wa kuokoa Ngorongoro na tunaunga mkono juhudi halali za serikali. Kila pande iepushe matumizi ya nguvu na umwagaji damu. Masai waambiwe ukweli kuna watu wananufaika na umaskini wao. waende Handeni kwenye makazi yao bora na waache kunyonywa na walafi wachache. Hakuna tija kupingana na miango halali ya Taifa.
 
Unajaribu kuigawa nchi. Nchi hii ni moja, hakuna rasilimali za wapi wala wapi, zote ni za nchi
 
Back
Top Bottom